Jay Z na Kanye West kutua Tanzania October 2014, Joseph Kusaga ahusishwa

Jay Z na Kanye West kutua Tanzania October 2014, Joseph Kusaga ahusishwa

huku kwetu Kenya tunatamani watuekee show hata kwa dakiki tano..naona Bongo hamjiamini ama vipi?
 
Acheni ujinga na ushamba kwani jay z au kanye kitu gani mpaka watu washindwe kuwaleta bongo????

Wewe kichwa maji acha dharau.......unahoji ati Jay-Z n Kanye West ni nani? Hivi wewe ndio yule mpuuzi anayeimba upuuzi wa kisiasa bongo au sie wewe? Hao uliowadharau mmoha wao ana uwezo wa kununua mawingu media akakununua na wewe usiyekua hata na hadhi ya uhouse-keeper. hovyoooooo......
 
ngoma ya NiGAS IN PARIS ndo itayonipeleka kwenye iyo tour yao
 
Atakuja October 4 ni kwaajili ya Project yake ya Clean water Campaign anayoifanya kwa muda wa wiki 7 katika nchi mbalimbali duniani. Kwa Tanzania ata ikamilishia Diamond Jubilee(DSM). Joseph kusaga hausiki
 
JandB3.jpg
 
Mi labda aje Mungu ndio ntaendaa hawa wengine hata angekujaa nanii siendii
 
Atakuja October 4 ni kwaajili ya Project yake ya Clean water Campaign anayoifanya kwa muda wa wiki 7 katika nchi mbalimbali duniani. Kwa Tanzania ata ikamilishia Diamond Jubilee(DSM). Joseph kusaga hausiki

Uko sahihi, hata kipind cha mwanzo ilikua ni ishu ya maji alipokuja na beyonce. Wazee wa fursa wanakamatia hapohapo.
 
Hiyo show nitaenda kwa gharama yoyote,niombe uzima tu...
 
Vurugu Za Fiesta zinaishia September kwa mujibu wa ratiba niliyonayo.
Kanye na Jiga ni mabalozi wa maji wa UN, nadhani hiyo ndio inawaleta coz kwa shida Za maji safi Wabongo ndo mwake.
Ova.
 
maviii iii

hahahahahahaa, mkuu nimecheka sanaaaa.
Uncle wangu ndo usemi wake huo tena anasubir kabla hujamaliza kuongea anatupia 'maviiiii' in his tune , basi ni full kuchekwa na wasikilizaji wa story yako.
 
Vurugu Za Fiesta zinaishia September kwa mujibu wa ratiba niliyonayo.
Kanye na Jiga ni mabalozi wa maji wa UN, nadhani hiyo ndio inawaleta coz kwa shida Za maji safi Wabongo ndo mwake.
Ova.

acha uwongo. Fiesta inaisha oktoba 18 ambapo ndo main event
 
acha uwongo. Fiesta inaisha oktoba 18 ambapo ndo main event

Dada mbona unakuwa mkali hivyo kwa mambo madogo kama haya? Hebu tulia kwanza, sasa hapo muongo ni mimi au ratiba niliyonayo?
Ova.
 
Back
Top Bottom