shikaji umenifanya nimecheka mwenyewe kama chizi vile.Niliwah kuskia huyu mwamba kikidondoka kijiko tu sakfun bas anakutengenezea beat kupitia sound ile! Kuna watu hatar sana
Japo uandishi wako unavutia,nilitegemea kukuta ni kwa namna gani Jay Z ni producer bora.STILL D.R.E - Ufundi wa Mikono ya Jay Z unaoishi tangu 1999 mpaka leo
#UZI
Tar. 13 Feb 2022 ilifanyika fainali ya American Football maarufu km Super Bowl kati ya Los Angeles Rams na Cincinnati Bengals.. Goma lilipigwa viwanja vya SoFi Stadium, Inglewood California.
Kwenye ile fainali kuna show inaitwa 'Super Bowl Half Time Show'
Mwaka huu ile show ilipigwa na wakali wa Hip Hop mainly kutoka West Side..
Kulikuwa na Dr. Dre, Snoop Dogg, Eminem, 50 Cent, Kendrick Lamar na Mary J. Blige.
Wakali kibao walikuwepo uwanjani, kina Meek Millz, Busta, Luda, Lebron na wengine kibao
Kanye pia alikuwepo uwanjani akiwa na mtoto wake North
Ye akili yake anaijua mwenyewe, ila alionekana aki-vibe na mdundo wa still D.R.E baada ya kina Snoop kuanza kukiwasha pale ndichi,
Wakati Snoop anapanda Dr. Dre alikaa kwenye Piano pale jukwaani, baadaye akachukua kipaza na likapigwa dude la 'Still D.R.E'
Uwanja mzima ukazizima kwa shangwe za hatari
Sasa moja ya vitu vilivyovuta macho ya watu, ni uwepo wa Jay Z na mkewe Beyonce pale uwanjani. Km hiyo haitoshi, wakati 'Still D.R.E' inapigwa kamera zikamnasa Jay Z akiimba neno kwa neno.. mkewe Be naye akifuatisha
Walikuwa VVIP km kawa (ki-CEO yaani[emoji23][emoji23])
Kitu unachohitaji kufahamu hapa ni kwamba ule mdundo wote uliandikwa na Jay Z tena kwa dakika 20 tuh..
Twende taratibu[emoji116]
Dec. 15 mwaka 1992 Dr. Dre alitoa album yake ya kwanza kwa jina 'The Chronic'
Hii ilikuwa album ya kwanza baada ya Dre kujitoa kundini N.W.A
Album ilikuwa na mafanikio ya kutosha ikifika namba 3 kwenye Billboard 200.. imeshakula platnum 3 (3 million units sold)
Baada ya ile kazi ambayo ilisimamiwa na label aliyoanzisha yeye na Suge Knight, yaani Death Row rec. kwa kushirikiana Interscope(km distributor), Dre aka-chill kidogo
1996 akajitoa Death Row na kuanzisha label yake mwenyewe yaani Aftermath Records..
Baada ya kuanzisha Aftermath Dre akaanza kutafuta gia ya kuondokea sasa (take off)
Akaanza kuandaa album yake ya pili kwa ajili ya kui-push presence ya record label yake mpya
Ukizingatia mafanikio makubwa ya 'The Chronic' Dre hakutaka kufanya kitoto.
Dre akaamua kutafuta manguli wa kuchora mistari mikali ya levo ya 'bazenga' km yeye
Kumbuka hiki ndo kipindi Jay Z alikuwa on fire kinoma baada ya kutoa 'Reasonable Doubt'
Japo Jay amekaa ki-East Coast ila hiyo haikumsumbua Dre.
Kutoka Santa Monica California yaliko makao makuu ya studio za Aftermath Records mpaka New York City katikati ya jimbo la New York yalipokuwa makao makuu ya Roc-A-Fela records ni takribani km 4516
Dre akampigia simu Jay, akamuomba amchoree ngoma kwa jina Still D.R.E,
Mwanetu Jay Z km kawaida kaweka punch za hatari zinazosifia ma-Bentley, ma-Diamonds and like staffs
Jay akadaka private jet iliyolipiwa na Dre kutoka New York mpaka Santa Monica, Los Angeles California kupeleka verse zake.
Jay anatua Los Angeles na moja kwa moja kwenda studio za Aftermath
Studioni anamkuta Snoop, Scott Storch na bazenga mwenyewe Dr. Dre
Snoop yuko kona moja akiwa high na mjani mkononi
Scott yuko kwenye machine anatengeneza beats
Dre yuko jikoni anatengeneza sandwich.
Scott anamwita Dre 'Oya Bazenga, huyu kijana wa New York amefika'
Dre anaitikia 'Poa, nakuja'
Snoop yeye yuko mbingu ya saba hata haelewi kitu, mineli imempanda kichwani
Dre anakuja na bila kupoteza muda Jay anachomoa karatasi kutoka kwenye 'black diary' yake na kumkabidhi, Ndio karatasi yenye verse zote, ya Dre na ya Snoop...
Dre anaiangalia akirejea jikoni chumba cha tatu kutoka studio..
Mpaka anafika jikoni hajaona cha maana kwenye zile lines..
Anamwita Jay na kumwambia 'hamna kitu humu dogo, haya ni mambo yenu ya New York sio Compton'.
Jay akachukua ile karatasi akaichana vipande vipande na kuitia kwenye waste bin ya pale studio
Akasogea kwenye kona moja ndani ya studio, akafungua daftari yake akatoa paper, akaketi, akavuta hoodie yake akafunika kichwa dizaini ile ya Konde boy, akakohoa kidogo ile koh koh koh.
Baada ya dk 20 na ushee hivi akanyanyuka kishujaa km Tyson Fury na kumkabidhi Dre ile karatasi
Dre akaketi kwa dk km 5 hivi, akanyanyuka akampa mkono Jay akisema 'wewe ndie Hov, umeua'
Siku ile ile Scott Storch akaanza kuinyongea ile ngoma beat yake kali,
Nov. 2 mwaka 1999 Still D.R.E ikaachiwa ikiwa km lead single kutoka kwenye album ya pili ya Dr. Dre kwa jina '2001' iliyoachiwa nov. 16 mwaka 1999 chini ya Aftermath Records
Baada ya show ya super bowl juzi, Still Dre imefikisha 1B views YouTube
Give Jay Z his flowers[emoji119][emoji119].
Weezy huwa ananikosha na mistari yake.. Ukisikiliza drop the world, ukisikiliza mirror, kuna ile ngoma kashilikishwa na drake, halafu No love ya Eminem aisee muke kaua, mchizi anajua kucheza na maneno, kwa kizazi chake huyu ndio bora kwangu. Ile verse niliipenda kuliko maelezoExcuse my charisma, vodka with a spritzer
Swagger down pat, call my shit Patricia
Young Money militia, and I am the commissioner
You don't want start Weezy, 'cause the F is for Finisher…[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
bonge moja ya beat!!hii si ndo aliambiwa amesample kwa wahindiNimekumbuka moja ya ngoma niliyoipenda ya Jay - Big Pimpin.
wizzy ni mnyama mno kwenye hii beat aliua nahisi wengi waliiogopa hii beat kama ilivyo in da club ya 50 CENTKuna beat la six foot seven foot ya lil wayne huwa ni kama vijiko vinagongana fln hv, sijui nani alilitengeneza
Funza ni Moto wakuotea mbali kweli funza ,anawasha Sana usiku hulaliJigga[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Naweza kukubaliana na wewe kwenye hili. Ukitoa zile keys ule mdundo mzito unaobaki hakuna mdau wa hiphop ya mbele atakayeshindwa kujua kuwa ni mkono wa Dre.unamjua Mel Man ?
aliplay part kwenye beat composition aki co- na Dre, japo hakupewa credits
scott ni keys tu, beat hahusiki
Wewzy bhn kwa upande wangu ni kwny loyal ya chris brown. AnakuambiaWeezy huwa ananikosha na mistari yake.. Ukisikiliza drop the world, ukisikiliza mirror, kuna ile ngoma kashilikishwa na drake, halafu No love ya Eminem aisee muke kaua, mchizi anajua kucheza na maneno, kwa kizazi chake huyu ndio bora kwangu. Ile verse niliipenda kuliko maelezo
Yeah, my life a bitch, but you know nothing about her
Been to hell and back, I can show you vouchers
I'm rolling sweets, I'm smoking sour
Married to the game but she broke her vows
That's why my bars are full of broken bottles
And my night stands are full of open Bibles uh
I think about more than I forget
But I don't go around fire expecting not to sweat[emoji106]
And these niggas know I lay them down, make them beg
Bitches try to kick me while I'm down, I'll break your leg[emoji1787]
Money outweighing problems on a triple beam
I'm sticking to the script, you niggas skipping scenes, uh
Be good or be good at.
Then kuna "Sky is the limit". ..... ." Pussy,Money,Weed"Weezy huwa ananikosha na mistari yake.. Ukisikiliza drop the world, ukisikiliza mirror, kuna ile ngoma kashilikishwa na drake, halafu No love ya Eminem aisee muke kaua, mchizi anajua kucheza na maneno, kwa kizazi chake huyu ndio bora kwangu. Ile verse niliipenda kuliko maelezo
Yeah, my life a bitch, but you know nothing about her
Been to hell and back, I can show you vouchers
I'm rolling sweets, I'm smoking sour
Married to the game but she broke her vows
That's why my bars are full of broken bottles
And my night stands are full of open Bibles uh
I think about more than I forget
But I don't go around fire expecting not to sweat[emoji106]
And these niggas know I lay them down, make them beg
Bitches try to kick me while I'm down, I'll break your leg[emoji1787]
Money outweighing problems on a triple beam
I'm sticking to the script, you niggas skipping scenes, uh
Be good or be good at.
swizz beats mume alicia keyzKuna beat la six foot seven foot ya lil wayne huwa ni kama vijiko vinagongana fln hv, sijui nani alilitengeneza
Weezy habr nyngne. Huwa ana mistari htr. Mie shabiki wa eminem kindaki ndaki lkn wakikutana na weezy huwa namsikiliza weezy mara 2 ya eminem. Drop the world na No love jamaa waliua sanaWeezy huwa ananikosha na mistari yake.. Ukisikiliza drop the world, ukisikiliza mirror, kuna ile ngoma kashilikishwa na drake, halafu No love ya Eminem aisee muke kaua, mchizi anajua kucheza na maneno, kwa kizazi chake huyu ndio bora kwangu. Ile verse niliipenda kuliko maelezo
Yeah, my life a bitch, but you know nothing about her
Been to hell and back, I can show you vouchers
I'm rolling sweets, I'm smoking sour
Married to the game but she broke her vows
That's why my bars are full of broken bottles
And my night stands are full of open Bibles uh
I think about more than I forget
But I don't go around fire expecting not to sweat[emoji106]
And these niggas know I lay them down, make them beg
Bitches try to kick me while I'm down, I'll break your leg[emoji1787]
Money outweighing problems on a triple beam
I'm sticking to the script, you niggas skipping scenes, uh
Be good or be good at.
Kaproduce Bangladesh.Kuna beat la six foot seven foot ya lil wayne huwa ni kama vijiko vinagongana fln hv, sijui nani alilitengeneza
Wayne kwenye mixtape series hasa za Dedication alitisha kinyama.Wewzy bhn kwa upande wangu ni kwny loyal ya chris brown. Anakuambia
Oh nigga that's never,
You all about her and she all about hers,
Birdman in this bitch no flamingoes,
And I have did done everything but not trust this hoes,
C. B F**k with me.