Jay Z Producer bora wa wakati wote

Jay Z Producer bora wa wakati wote

M
Niliwah kuskia huyu mwamba kikidondoka kijiko tu sakfun bas anakutengenezea beat kupitia sound ile! Kuna watu hatar sana
shikaji umenifanya nimecheka mwenyewe kama chizi vile.
 
STILL D.R.E - Ufundi wa Mikono ya Jay Z unaoishi tangu 1999 mpaka leo

#UZI

Tar. 13 Feb 2022 ilifanyika fainali ya American Football maarufu km Super Bowl kati ya Los Angeles Rams na Cincinnati Bengals.. Goma lilipigwa viwanja vya SoFi Stadium, Inglewood California.

Kwenye ile fainali kuna show inaitwa 'Super Bowl Half Time Show'

Mwaka huu ile show ilipigwa na wakali wa Hip Hop mainly kutoka West Side..

Kulikuwa na Dr. Dre, Snoop Dogg, Eminem, 50 Cent, Kendrick Lamar na Mary J. Blige.

Wakali kibao walikuwepo uwanjani, kina Meek Millz, Busta, Luda, Lebron na wengine kibao

Kanye pia alikuwepo uwanjani akiwa na mtoto wake North

Ye akili yake anaijua mwenyewe, ila alionekana aki-vibe na mdundo wa still D.R.E baada ya kina Snoop kuanza kukiwasha pale ndichi,

Wakati Snoop anapanda Dr. Dre alikaa kwenye Piano pale jukwaani, baadaye akachukua kipaza na likapigwa dude la 'Still D.R.E'

Uwanja mzima ukazizima kwa shangwe za hatari

Sasa moja ya vitu vilivyovuta macho ya watu, ni uwepo wa Jay Z na mkewe Beyonce pale uwanjani. Km hiyo haitoshi, wakati 'Still D.R.E' inapigwa kamera zikamnasa Jay Z akiimba neno kwa neno.. mkewe Be naye akifuatisha

Walikuwa VVIP km kawa (ki-CEO yaani[emoji23][emoji23])

Kitu unachohitaji kufahamu hapa ni kwamba ule mdundo wote uliandikwa na Jay Z tena kwa dakika 20 tuh..

Twende taratibu[emoji116]

Dec. 15 mwaka 1992 Dr. Dre alitoa album yake ya kwanza kwa jina 'The Chronic'

Hii ilikuwa album ya kwanza baada ya Dre kujitoa kundini N.W.A

Album ilikuwa na mafanikio ya kutosha ikifika namba 3 kwenye Billboard 200.. imeshakula platnum 3 (3 million units sold)

Baada ya ile kazi ambayo ilisimamiwa na label aliyoanzisha yeye na Suge Knight, yaani Death Row rec. kwa kushirikiana Interscope(km distributor), Dre aka-chill kidogo

1996 akajitoa Death Row na kuanzisha label yake mwenyewe yaani Aftermath Records..

Baada ya kuanzisha Aftermath Dre akaanza kutafuta gia ya kuondokea sasa (take off)

Akaanza kuandaa album yake ya pili kwa ajili ya kui-push presence ya record label yake mpya

Ukizingatia mafanikio makubwa ya 'The Chronic' Dre hakutaka kufanya kitoto.

Dre akaamua kutafuta manguli wa kuchora mistari mikali ya levo ya 'bazenga' km yeye

Kumbuka hiki ndo kipindi Jay Z alikuwa on fire kinoma baada ya kutoa 'Reasonable Doubt'

Japo Jay amekaa ki-East Coast ila hiyo haikumsumbua Dre.

Kutoka Santa Monica California yaliko makao makuu ya studio za Aftermath Records mpaka New York City katikati ya jimbo la New York yalipokuwa makao makuu ya Roc-A-Fela records ni takribani km 4516

Dre akampigia simu Jay, akamuomba amchoree ngoma kwa jina Still D.R.E,

Mwanetu Jay Z km kawaida kaweka punch za hatari zinazosifia ma-Bentley, ma-Diamonds and like staffs

Jay akadaka private jet iliyolipiwa na Dre kutoka New York mpaka Santa Monica, Los Angeles California kupeleka verse zake.

Jay anatua Los Angeles na moja kwa moja kwenda studio za Aftermath

Studioni anamkuta Snoop, Scott Storch na bazenga mwenyewe Dr. Dre

Snoop yuko kona moja akiwa high na mjani mkononi

Scott yuko kwenye machine anatengeneza beats

Dre yuko jikoni anatengeneza sandwich.

Scott anamwita Dre 'Oya Bazenga, huyu kijana wa New York amefika'

Dre anaitikia 'Poa, nakuja'

Snoop yeye yuko mbingu ya saba hata haelewi kitu, mineli imempanda kichwani

Dre anakuja na bila kupoteza muda Jay anachomoa karatasi kutoka kwenye 'black diary' yake na kumkabidhi, Ndio karatasi yenye verse zote, ya Dre na ya Snoop...

Dre anaiangalia akirejea jikoni chumba cha tatu kutoka studio..

Mpaka anafika jikoni hajaona cha maana kwenye zile lines..

Anamwita Jay na kumwambia 'hamna kitu humu dogo, haya ni mambo yenu ya New York sio Compton'.

Jay akachukua ile karatasi akaichana vipande vipande na kuitia kwenye waste bin ya pale studio

Akasogea kwenye kona moja ndani ya studio, akafungua daftari yake akatoa paper, akaketi, akavuta hoodie yake akafunika kichwa dizaini ile ya Konde boy, akakohoa kidogo ile koh koh koh.

Baada ya dk 20 na ushee hivi akanyanyuka kishujaa km Tyson Fury na kumkabidhi Dre ile karatasi

Dre akaketi kwa dk km 5 hivi, akanyanyuka akampa mkono Jay akisema 'wewe ndie Hov, umeua'

Siku ile ile Scott Storch akaanza kuinyongea ile ngoma beat yake kali,
Nov. 2 mwaka 1999 Still D.R.E ikaachiwa ikiwa km lead single kutoka kwenye album ya pili ya Dr. Dre kwa jina '2001' iliyoachiwa nov. 16 mwaka 1999 chini ya Aftermath Records

Baada ya show ya super bowl juzi, Still Dre imefikisha 1B views YouTube

Give Jay Z his flowers[emoji119][emoji119].
Japo uandishi wako unavutia,nilitegemea kukuta ni kwa namna gani Jay Z ni producer bora.
Na wimbo uliomhusisha nao hata hawajamcredit kama producer.

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Excuse my charisma, vodka with a spritzer
Swagger down pat, call my shit Patricia
Young Money militia, and I am the commissioner
You don't want start Weezy, 'cause the F is for Finisher…[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Weezy huwa ananikosha na mistari yake.. Ukisikiliza drop the world, ukisikiliza mirror, kuna ile ngoma kashilikishwa na drake, halafu No love ya Eminem aisee muke kaua, mchizi anajua kucheza na maneno, kwa kizazi chake huyu ndio bora kwangu. Ile verse niliipenda kuliko maelezo

Yeah, my life a bitch, but you know nothing about her
Been to hell and back, I can show you vouchers
I'm rolling sweets, I'm smoking sour
Married to the game but she broke her vows
That's why my bars are full of broken bottles
And my night stands are full of open Bibles uh
I think about more than I forget
But I don't go around fire expecting not to sweat[emoji106]
And these niggas know I lay them down, make them beg
Bitches try to kick me while I'm down, I'll break your leg[emoji1787]
Money outweighing problems on a triple beam
I'm sticking to the script, you niggas skipping scenes, uh
Be good or be good at.
 
For me Dr, Dre ndiye producer bora kabisa wa hip hop kwa muda woote! na hata ma producers wengi tuu akiwemo huyo devil masonic wako jayz wana sample beat zake nyingi tuu,
 
Kwangu mimi ndani ya next episode. ‘Forget about Dre ‘ ni wimbo ulio bora na ulio hit zaidi ya ‘still Dre’…,,
 
Still Dre instrumental yake tu pekee kwanza ni hit kama Uno ya Konde boy ...hapo bado Vocals zilizochagizwa na Lyrics za jigga aisee acha
 
unamjua Mel Man ?
aliplay part kwenye beat composition aki co- na Dre, japo hakupewa credits
scott ni keys tu, beat hahusiki
Naweza kukubaliana na wewe kwenye hili. Ukitoa zile keys ule mdundo mzito unaobaki hakuna mdau wa hiphop ya mbele atakayeshindwa kujua kuwa ni mkono wa Dre.
 
Mtoa mada ni Best story writer 🔥🔥..
Nimemubali kiufupi na

Wakati nasoma sikujua kama nitaikuta Super Bowl half time show 😁 maana hawa legendaries waliileta black excellence kwa stage like Never before.

Kama una documentaries za music au entertainment pia, unaweza share suggestion nikatiririka nazo. salute
 
Weezy huwa ananikosha na mistari yake.. Ukisikiliza drop the world, ukisikiliza mirror, kuna ile ngoma kashilikishwa na drake, halafu No love ya Eminem aisee muke kaua, mchizi anajua kucheza na maneno, kwa kizazi chake huyu ndio bora kwangu. Ile verse niliipenda kuliko maelezo

Yeah, my life a bitch, but you know nothing about her
Been to hell and back, I can show you vouchers
I'm rolling sweets, I'm smoking sour
Married to the game but she broke her vows
That's why my bars are full of broken bottles
And my night stands are full of open Bibles uh
I think about more than I forget
But I don't go around fire expecting not to sweat[emoji106]
And these niggas know I lay them down, make them beg
Bitches try to kick me while I'm down, I'll break your leg[emoji1787]
Money outweighing problems on a triple beam
I'm sticking to the script, you niggas skipping scenes, uh
Be good or be good at.
Wewzy bhn kwa upande wangu ni kwny loyal ya chris brown. Anakuambia

Oh nigga that's never,
You all about her and she all about hers,
Birdman in this bitch no flamingoes,
And I have did done everything but not trust this hoes,
C. B F**k with me.
 
Then kuna "Sky is the limit". ..... ." Pussy,Money,Weed"
Wiz wa moto sana kitambo icho.
 
Weezy habr nyngne. Huwa ana mistari htr. Mie shabiki wa eminem kindaki ndaki lkn wakikutana na weezy huwa namsikiliza weezy mara 2 ya eminem. Drop the world na No love jamaa waliua sana
 
Wewzy bhn kwa upande wangu ni kwny loyal ya chris brown. Anakuambia

Oh nigga that's never,
You all about her and she all about hers,
Birdman in this bitch no flamingoes,
And I have did done everything but not trust this hoes,
C. B F**k with me.
Wayne kwenye mixtape series hasa za Dedication alitisha kinyama.
 
According to Wikipedia; Jayz ndie mwandishi (Lyricist) na si producer, ila Dr.Dre na Mel-Man ndio produrers.
 
Back
Top Bottom