themathematicalmodelling
Senior Member
- Feb 2, 2018
- 174
- 327
Scott storch anaimiliki instrument for more than 95% Dr dre anaimiliki vocals tuuuuscott alipiga keys, ile ngwi ngwi X 100
beat ni Dre
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Scott storch anaimiliki instrument for more than 95% Dr dre anaimiliki vocals tuuuuscott alipiga keys, ile ngwi ngwi X 100
beat ni Dre
unamjua Mel Man ?Scott storch anaimiliki instrument for more than 95% Dr dre anaimiliki vocals tuuuu
Sure, vuta hadi 2012. Baada ya hapo hip hop ya USA imepunguza mvuto sana kwanguHip hop ya USA kuanzia 93-2005 ilikuwa music mzuri sana
Sana wanangu labda kidogo wanakuwa wanatoa ngoma moja moja ambazo ni Kari wanakuwa na unyamwezi mwingi kuliko kuandikaSure, vuta hadi 2012. Baada ya hapo hip hop ya USA imepunguza mvuto sana kwangu
Siku hizi vimekuja vitoto sijui vinaimba vitu gani!!!Hip hop ya USA kuanzia 93-2005 ilikuwa music mzuri sana
Kuna beat la six foot seven foot ya lil wayne huwa ni kama vijiko vinagongana fln hv, sijui nani alilitengenezaNiliwah kuskia huyu mwamba kikidondoka kijiko tu sakfun bas anakutengenezea beat kupitia sound ile! Kuna watu hatar sana
Saivi Kuna makelele tuSure, vuta hadi 2012. Baada ya hapo hip hop ya USA imepunguza mvuto sana kwangu
Tangu 2021 lil wayne anaweka ngoma zake za zamani sana youtube, kwa walomjua siku za karibuni huwa wanadhan ni mpya ila kumbe ni za enzi hzo miziki inanunuliwa kwenye cdSana wanangu labda kidogo wanakuwa wanatoa ngoma moja moja ambazo ni Kari wanakuwa na unyamwezi mwingi kuliko kuandika
Niliisikiliza ngoma ya DJ KHALED FT MARTIN & JAY-Z _ SORRY NOT SORRY humu walifanya kitu
Excuse my charisma, vodka with a spritzerKuna beat la six foot seven foot ya lil wayne huwa ni kama vijiko vinagongana fln hv, sijui nani alilitengeneza
Never met the bit**, but I f**k her like I missed her.Excuse my charisma, vodka with a spritzer
Swagger down pat, call my shit Patricia
Young Money militia, and I am the commissioner
You don't want start Weezy, 'cause the F is for Finisher…[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Yao yao.... jeeeshiiiiUmenifurahisha pale "akakohoa kidogo ile koh koh koh" anyway umetisha sana mkuu
Binafsi naielewa Forgot about Dre kuliko still dre, kule eminem kaua balaa na dre kapiga beat hatariStill dre goma linaishi na linaendelea kuishi
Ova
Hii comment et ile ngwi ngwi ngwi ngwiscott alipiga keys, ile ngwi ngwi X 100
beat ni Dre