Wewe ndo unaleta story za vijiweni na unataka nikupe story za vijiweni, hao waarabu ni ngumu kujulikana ila effect ya hela yao inaonekana,
Sasa ukitaka nikutajie majina huoni unanilazimisha kukupa story za vijiweni?
Fuatilia Saudi National Bank imeinvest wapi ndo utaona effect ya hela za waarabu, hata elon musk alipotaka kuipeleka Tesla private mwaka 2018 alikua anapewa kiburi na funds za Saudi Arabia.
Hujui unachokiongelea af unaita story za kijiweni kisa huna information.
Benard Arnault percent kubwa ya utajiri wake ni share yake ya LVMH ambayo anaipata sababu ni kiongozi wa hio Family Business, sasa kama hata unakataa hilo ambalo google search ndg tu inakujibu basi naona napoteza tu mda wangu kukuquote. Na kwa taarifa yako watoto wake wanapigana vita balaa hadi media zinatangaza hilo ili mradi tu kuwa successor lkn jamaa kakomaa haachii kiti