PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Jay_z ameweka wazi kwenye wimbo uliopo kwenye album yake mpya 4:44 kuwa mama yake gloria carter ni msagaji
Amerap: Mama had four kids but she's a lesibian / Had to pretend so long that she's a thespian. Don't matter to me if it's a him or her / I just want to see you smile through all the hate
Hii ni mara ya kwanza jay anathibitisha tetesi hizo pia amesema mama yake alijiingiza kwenye ulevi kutokana na kutengwa kwa hali yake hiyo
Je huu ni ushetani au ???
Toa maoni yako