Jay_z amethibitisha kuwa mama yake ni msagaji

Jay_z amethibitisha kuwa mama yake ni msagaji

PRINCE PRIS

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
347
Reaction score
587
05a14ea923a51d759552fc866287cf04.jpg


Jay_z ameweka wazi kwenye wimbo uliopo kwenye album yake mpya 4:44 kuwa mama yake gloria carter ni msagaji
Amerap: Mama had four kids but she's a lesibian / Had to pretend so long that she's a thespian. Don't matter to me if it's a him or her / I just want to see you smile through all the hate

Hii ni mara ya kwanza jay anathibitisha tetesi hizo pia amesema mama yake alijiingiza kwenye ulevi kutokana na kutengwa kwa hali yake hiyo

Je huu ni ushetani au ???
Toa maoni yako
 
Hii inasikitisha sana asee yan mtu unafikia hatua ya kuongea na kumsifia mama ako kuwa ni msagaji,yan mama na mtoto wote hawajielewi
 
Elton john alipotoa mguu mama wa jay z kakanyaga na alipotoa mguu mama jay Elton nae ameweka mguu
Shikamoo dunia
 
Du na pesa zote za J-Z kumbe kuna kitu kunamkosesha furaha na amani moyoni
Katika autro ya Album Carter anasema "Living in the shadow. Can you imagine what kind of life it is to live? In the shadows people see you as happy and free, because that's what you want them to see. Living two lives, happy, but not free.

She's free now.
 
Wasanii wengi hawaishi maisha ya furaha
 
Kama mamake Kenneth faried mcheza basket wa Denver nuggets, jamaa anasema poa tu mamake kuwa kwenye uhusiano na mwanamke mwenzake, na anawaita wote mamazake,na anawatunza na mara kibao anapiga nao picha
Friend: Kenneth Faried makes moms proud
 
  • Thanks
Reactions: Bky
ndo shida ukiweka manuizi na iluminati!unaweza kupewa sharti ugegede ht dingi
 
Back
Top Bottom