Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Hahaha 1988 haya mzee wanguNliiskia hiyo habari kwa Mara ya kwanza 1988
Tuma shenziMtoa uzi unauliza je huo ni ushetani au?.. hapana huo ni UMALAIKA... mbavuuuu kabisaa
Ukimaindi natuma tena.
Haiwezi kuingia humu mb zinazidi uwezo JF waliyoweka.hivi nani anayo album hii kwe torrent siioni
ingia hapa extratorrent.ag ipo mi nilipakua jana mkuuhivi nani anayo album hii kwe torrent siioni
Aisee shikamoo blaza.Mwaka wangu wa kuzaliwa huoNliiskia hiyo habari kwa Mara ya kwanza 1988
dah shukran mkuuuuingia hapa extratorrent.ag ipo mi nilipakua jana mkuu
Tumsutesasa anasema ili iweje
Labda kwamba ni kawaida na sisi tuige!sasa anasema ili iweje
Kumbe we ni babuNliiskia hiyo habari kwa Mara ya kwanza 1988