Jay_z amethibitisha kuwa mama yake ni msagaji

Jay_z amethibitisha kuwa mama yake ni msagaji

Mtoa uzi unauliza je huo ni ushetani au?.. hapana huo ni UMALAIKA... mbavuuuu kabisaa

Ukimaindi natuma tena.
 
Jay Z anaishi katika utamadun wa Hiphop.....kasema ukwel

Hongera kwake
 
hivi nani anayo album hii kwe torrent siioni
 
hivi nani anayo album hii kwe torrent siioni
Haiwezi kuingia humu mb zinazidi uwezo JF waliyoweka.

Mbona unapenda kujitesa. Torrent kutafuta nini nenda Google andika Jay z 4:44 album itakuja.
 
Back
Top Bottom