Huyu mdada kupata Mnaija anaona akurupukie talaka ya Haba aiweke mbaoni. Pole yake wanaija wapiga dili mno akisha piga vya kutosha atamtupilia mbali. Asilale mlango wazi kwa bahati ya Eliza. Aende pole pole. Mimi namsikitikia maana hakuchanga karata zake vizuri.