Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

Huyu mdada kupata Mnaija anaona akurupukie talaka ya Haba aiweke mbaoni. Pole yake wanaija wapiga dili mno akisha piga vya kutosha atamtupilia mbali. Asilale mlango wazi kwa bahati ya Eliza. Aende pole pole. Mimi namsikitikia maana hakuchanga karata zake vizuri.
 
YOTE HAYA ILI KUPROVE KUWA AMEMOVE ON?
KWA NANI?
ILI?
NANI HAJUI?
HALAFU?
MXXXXXXIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIOU!
 
Mtu akisha move on ana haja ya kuyaonyesha hadharani hayo makaratasi kweli?

Talk about [not] taking your own advice [emoji23] [emoji23]

Drama queen extraordinaire!!!!
Bado anamkumbuka mzee wa kukojoza
 
Ukiiba mume wa mtu nawe utaibiwa. Na kama mwanamume akimuacha mke, mchumba au hata girlfriend kwa sababu yako jua nawe siku ijayo atakuacha tu. Ukweli ni kwamba tuheshimu ndoa na mahusiano kabla hatujajiingiza. Ni vizuri ukute mtu ameshaachana na mke au hata mchumba au hata mpenzi wake ndipo ujiingize kule. Ila pia unaonyesha cheti ili sasa tuje tena kwako au niaje mama?
 
Bila kumuongelea Gadna hana kiki nyingine ya kutokea hana soko tena....
 
Huyu ni role model wa wanawake wengi wapumbavu. Kwani kichaa akikuvua nguo kama una hekima utamkimbiza? Na hapo anampa ujumbe gani huyo mwanaume aliye nae sasa hivi?

Talaka sioni kama ni kitu cha kupeperusha hadharani kama bendera na kushangilia labda uwe umetumwa na lusifa kuhamasisha talaka kwa washabiki wako. Talaka inaumiza hata kama wewe ndo umeiomba. Nani anapenda kupata hasara kwenye mradi wake? Maumivu ya talaka ndo tunayaona kwenye maneno na matendo yao kila mmoja dhidi ya mwenzie. Watu walio-move on wanajali mambo yao binafsi. Jide ni kama mtu anayechomwa sindano halafu anacheka. Unafiki mtupu. Wanaomshabikia ni wale wenye vidonda vibichi au wapenda vigodoro.
 
Achana na Marioo huyo, inawauma etiii

Yaani Marioo wote wakiona jide kapost kitu kuhusu G roho inawauma kama wamesemwa wao..

Na bado jide ashushe vichambo kwa Marioo wote kwa kweli!
Sasa mtu hana time na wewe unamsema sema ili iweje? Au kakumbuka kukojozwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acha kumdanganya mwenzako aendelee kujianika hadharani ujinga wake. Kama kamiss kukojozwa amtafute kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…