kwani gadner si anaye mkewe wa ndoa ya kanisani, jay dee alikuwa kimada aliyepora ndoa ya mwanamke mwenzie, gadner arudi kwa mkewe haraka. vilevile, kwa kumwangalia tu jeydee kwenye ile diary yake, nilishamwambia hata waifu kuwa "jaydee si mke material", yule si mke wa kuoa, utapasua kichwa. gadner lazima atakuwa alivumilia mengi sana ikafika kipindi maji shingoni akasepa. sijui sasa pale aliyeolewa alikuwa nani, gadner ndio aliolewa jide ndo alikuwa mumewe..hadi nikimwangalia nilikuw anamownea huruma.
Hahaa sasa we kama ndio mwenye tatizo itakuwaje...
Mie nna anko wangu kaoa wakaa miaka kibao bila mtoto wife wake ndio akawa analalamikiwa ila baadae baada ya vipimo ikagundulika anko ndio mwenye matatizo sa hivi wameenda SA sijui kufanya vitu gani wapate mtoto

Huyu meneja mpya ndiye yule aliyefunga ndoa juzijuzi niliyemuona kwenye diary ya lady jadee wakati jay dee mwenyewe akiwaendesha (yeye na mkewe) na gari lake? Jaydee alikuwa anasema huyo ni ndugu yake na kwamba ana ndugu wengi ila hawafuatanifuatani yani kila mtu na maisha yake.
kwani gadner si anaye mkewe wa ndoa ya kanisani, jay dee alikuwa kimada aliyepora ndoa ya mwanamke mwenzie, gadner arudi kwa mkewe haraka. vilevile, kwa kumwangalia tu jeydee kwenye ile diary yake, nilishamwambia hata waifu kuwa "jaydee si mke material", yule si mke wa kuoa, utapasua kichwa. gadner lazima atakuwa alivumilia mengi sana ikafika kipindi maji shingoni akasepa. sijui sasa pale aliyeolewa alikuwa nani, gadner ndio aliolewa jide ndo alikuwa mumewe..hadi nikimwangalia nilikuw anamownea huruma.
Ha ha ha ha, so u mean wimbo wa HISTORIA WA JAY DEE UNAMHUSU?Gadner tupatupa mariooo sasa ataipata fredh. Si ndiyo walikamatwa na yule mropokaji kibonde wakiendesha bila kufuata sheria za barabarani wakiwa walevi na wakasweka selo urafiki? Hakika Lady Jaydee hapaswi kuwa na mume wa jinsi hii.
Misemo ya kizamaniiiinilisikia huyo ex wife alishagaolewa...labda aanze alifu kwa ujiti.
......
Kwa muda walioishi pamoja na kuvumiliana.....nini kinafanya waone inatosha? ......miaka zaidi ya tisa kwa wanandoa si jambo dogo.....hawa wanategemeana kwa mengi.....wakubali mapungufu yao.....yale ya kubadilika wabadilike......wavumiliane.....kila jambo baya lina mwisho......nawatakia kila lakheri ....mioyo yao ijitafakari na kujirudi ili maisha yaende mbele......
couple yao ilikuwa poa sana, nadhan jaydee mpaka apo alipofikia mumewe gadner ka play role kubwa sana kuhakikisha jide anafanya vzur, maana gadner ni mtu wa watu, maana kuna watu jide hapatani nao lakini hao watu wanapatana na gadner na inaweza ikawa hao watu ndo waliosababisha jide akawa juu na kuendelea kuwa juu, Gadner ana network kubwa sana na anafahamiana na watu wengi sana na ana experience na hyo kazi ya umanager, maana sometimes kuishi na yule bibie jide yataka moyo
mi ndo nshautumia hvyoMisemo ya kizamaniiii
Binamu hizi network zake hazimpagi hela jamaa? Maana huku kutangatanga mara kwa ndugu mara kupanga mwananyamala mbona ni keroo!couple yao ilikuwa poa sana, nadhan jaydee mpaka apo alipofikia mumewe gadner ka play role kubwa sana kuhakikisha jide anafanya vzur, maana gadner ni mtu wa watu, maana kuna watu jide hapatani nao lakini hao watu wanapatana na gadner na inaweza ikawa hao watu ndo waliosababisha jide akawa juu na kuendelea kuwa juu, Gadner ana network kubwa sana na anafahamiana na watu wengi sana na ana experience na hyo kazi ya umanager, maana sometimes kuishi na yule bibie jide yataka moyo
Kitendo cha Gadner kukaa kwa ndugu na baada ya kuchokwa kuamua kwenda kupanga mwananyamala kwa mateja kweli maisha ni elimu tosha kutoka kwenye mansion na Envoque juu mpaka kwa mateja na kuomba lift kwenye carina ti ya kibonde kweli mapenzi ni shida na pesa ndio kabisaa #waalade .
namshukuru Mungu kwa mwanamke aliyenipa, angenipa kama jide, nisingemtambulisha hata kwa watu. huwa sipati picha gadner akiwa naye ndani inakuwaje. Mungu awasaidie. ila kama kweli gadner aliacha ndoa, arudi kwa mkewe wa ndoa. na jide kama anajua kuwa gadner alichangia chochote kwenye mali alizonazo basi amgawie mwenzie au ampe hata za kuanzia maisha tu.Kwan gadna alikua hatunzi pesa nae kununua gari zake na nyumba zake,lakini hapo lazima wagawanee,ila kama gadna hana kitu jide atakua ni mbinafsii
namshukuru Mungu kwa mwanamke aliyenipa, angenipa kama jide, nisingemtambulisha hata kwa watu. huwa sipati picha gadner akiwa naye ndani inakuwaje. Mungu awasaidie. ila kama kweli gadner aliacha ndoa, arudi kwa mkewe wa ndoa. na jide kama anajua kuwa gadner alichangia chochote kwenye mali alizonazo basi amgawie mwenzie au ampe hata za kuanzia maisha tu.