JAYDEE Apanga kununua ndege (aeroplane)

Asifanye mchezo, huyu, hataweza...Ndege si kama Machozi Band, ambayo unaweza kuiendesha kwa kuwakopa wapigaji..huh!

Lau angejua gharama ambazo ndege inakula asingetamka hilo, labda kwa kujifurahisha tu.

nyie acheni hayo makitu...mbona Babu Sambeke anayo yake pale Moshi na anasumbua nayo hapa angani kinyama....inawezekana mazee
 
Gambler: Hebu tujuze lini Barrick wamenunua ndege? Nijuavyo mimi wanakodi
 
Jamani hii mada imekaa kidaku sana, hivi kuna mtu humu ndani hana ambition katika maisha yake, kunaubya gani mtu kuweka dreams zake wazi??????????? acheni mambo hayo, ndio maana wabongo hatuendelei cos tumejaa wivu hana dreams za mtu mnazionea wivu.
 
Asifanye mchezo, huyu, hataweza...Ndege si kama Machozi Band, ambayo unaweza kuiendesha kwa kuwakopa wapigaji..huh!

Lau angejua gharama ambazo ndege inakula asingetamka hilo, labda kwa kujifurahisha tu.

Haya ni ma pompozi tu yasiwaumize vichwa vyenu. Na kukunua ndege kama ni lengo lake, wengine tuna malengo ya kwenda "Mlingotini kwa Babu" tupate hata "ungo". Wengine, twafikiria tuwe marubani wa hiyo ndege na wengine waongoza ndege hiyo (Air Traffic Controller). Hana familia ya kumbughuzi madada wa watu, wakati huo huo we PJ unafikiria hiyo familia ya watoto sita na wale wengine (..) wataishiaje........


SHe

Has

Been always a most Dreamer celebrate Lady in our Music Industry>

  1. Mawazao kila, kia mtu ana mawazo, ukilala ukiamka una mawazo
http://www.eastafricantube.com/media/191/Lady_Jaydee_-_Mawazo/
  1. Natamani kuwa Malaika
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=L63e4_fPj2I[/ame]
 
nyie acheni hayo makitu...mbona Babu Sambeke anayo yake pale Moshi na anasumbua nayo hapa angani kinyama....inawezekana mazee
Huyo raia umemtaja namjua kama njaa, na naelewa alikotegesha machanneli yake ya fweza!...Hivi unamjua vizuri yule bwana au unamsikiaga tu?

Ushakutana nae face to face?

Ushawahi kumfuma akimdai mtu pesa(kwa mfano alimkopesha?)
Acha mifano ambayo huna details nayo dogo!

Kwanza huyo Sambeke anatembelea ndege aina ya cessna 182(4-seater) aliyonunua kwa jamaa wa KiliAir hapahapa Moshi.

Lakini kabla ya hapo alikuwa na cessna 150, ambayo ni ndooogo kabisa, two seater, aliyoinunua huko Kenya-Naivasha kwa jamaa wa Airspray.

Sasa huyu mwenzetu Jaydee atakaeanza na DHC-8... mhhhh&%*#$, nachelea kusema ukweli wa yatakayompata!
 
Its okay to dream and to wish for something,why watu mnakua so negative? Kwani walio nazo na wao si walianza kwa kufikiria,mara sijui cost sijui nini.Let her be,let her worry about it,kwani amesema atakuja kuwaomba hizo pesa?
 
Mara ya mwanzo kuingia simu za mkononi nchini,tuliziogopa sana kwamba zingetumalizia fedha zetu zoote!
 
Maaaavi umeskia ni boxer 150 ile....amalize mkopo ule wa CRDB kwanza
 

S -Specific
M-Measurable
A -Attainable/Achievable
R -Realistic
T -Time bound/frame
 
GhuhgtjhggQUOTE=GAMBL;716846]

Siku moja MUNGU akipenda nitakuwa na ndege yangu labda, kwenye ki kadi kama hiki patakuwa pameandikwa MACHOZI AIR na sio Barrick Tanzania.



Jamani hii ndege ni ya Barrick ilitumwa kutuchukua kutoka Dar Jumamosi asubuhi kutupeleka Tulawaka na ikaturudisha tena Dar Jumapili asubuhi kuwahi Sanya Sanya ya Thai Village.


Mnaona mambo hayo?? Sio kwamba kulikuwa na abiria wengine nooo!
Si mnaona siti ziko tupu, manake Machozi Band plus dancers na Manager Captain ni watu 17 tu.[/QUOTE]
 
------ ya shangazi yake. Yani wabongo kilamtu mwenye Vicente vya mbonga basi anauwezo wa kununua ndege mxiewwwww
 
acha wivu wa kijinga kuwa na wivu wa maendeleo....jiulize na ww utanunua lini ya kwako

Hahahhaha povu km ww Gadner vile bwana Ze dudu unauchunga... we ndege unafikiri unanunua tuuu....labda akimaliza mkopo wa CRDB unaomtoa jasho akope mwingine wa ndege. ..kweeeeendraaaaa!!!
 
Hivi kumiliki starlet na kumiliki range rover vogue ni sawa? Lakini wote si wanakua na kadi za gari zinazofanana? Kasema atamiliki ndege hajasema ni ndege gani? Bob Sambeke si alikuwa ana ndege? Lakini ilikuwa ni jamii ya Cesna yaani vile vindege vidogo ambavyo vikipita juu vinapiga kelele lakini who cares? Na akikaa na matajiri wenzake anasema na mimi nna ndege- so Jide unaweza mama jitahidi tu.
Nawasilisha!


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Kwendeni zenu huko na roho zenu mbaya ni kwanini ashindwe? Mijitu mmekalia roho mmbaya tu.
Kama una chumba kimoja kwanini usiwaze kujenga nyumba kubwa?
Mtaishia hayo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…