Jaydee huu ni utoto sana tena sana


Nakukubari sanaaa
 
Mgahawa waitwa MOG sio MG...

Ila kasema kweli Life is tough.. sidhani kama kakosea.. hiyo Yahya si aliimba hata kabla hawajatengana na G

Gardner ka move on fasta maana ana kabinti kengine sa hivi

Inaonesha jamaa G anapenda vipya zaidi. Vilivyotumika a a a a!
 
ndo maana naona mtoa mada anajichosha tu. wameachana or not hiyo wala sio shida kwetu. sie tunataka burudani tu, mengine watajijua huko:cool2::cool2:
mhii! kwani wameachana kweli?? nakubaliana na wewe huyu ni msanii na sanaa ni kazi yake tuache kujistukia bhana
 
Malipo ya kulelewa mwanaume usikubali kulelewa one day mwanamke atasema tu ndivyo tulivyo

Kweli kabisa ukikubali mwanamke akulee kwa kila kitu ujue ipo siku atajiona yeye ndo anakojoa kwa kusimama na wewe unakojoa kwa kuchuchumaa! Asilimia 99.9 ya wanawake wapo hivyo.
 
Acha kabisa, kuna watu kwa kujihisi hawajambo.

Eti hata hizi komenti kuna watu huwa wanajihisi, unashangaa mitusi inaporomoshwa, khah!

Nimempania King'asti, nikimhisi tu atajiju.

ehehehehe!
hapo tu ndo unaponichenganyaga omutima wange!
kunywa novida nakuja kulipa!
yan ncvae kanga imeandikwa nunu nunu wamnunia nani kisa Kongosho hajanisalimia jana?labda anaumwa jino hawezi kufungua mdomo!
aaaargh!
 
Last edited by a moderator:


Asante #kiranga
The language, the words used nnpo hoi....... will come to you for a vocabulary tuition.
 
No, just vivaciously voluble and vigorously vanquishing via a veneer of vitriolic vituperative verisimilitude.
Santeeeee!

af uckute unataja majina ya vifaa vya operesheni ya vichwa!
ntakumind!
ngoja nifate kamusi
 
Acha kabisa, kuna watu kwa kujihisi hawajambo.

Eti hata hizi komenti kuna watu huwa wanajihisi, unashangaa mitusi inaporomoshwa, khah!

Nimempania King'asti, nikimhisi tu atajiju.

ahahahaha uniite tumhisi wote,
'tamuanzishiaje thread zenye title za anchoma kumoyo!
atajibebaaaaje!
 
Last edited by a moderator:
He he he, na sipigi mswaki. Unataka niongee ujihisi afu ukurupuke na matuthi?

Tukutaneni bana, nini mnakimbia kimbia?

Au Kongosho hajapiga mswaki ndo maana anaogopa kuongea.

Hahaha nimekumisije? bila appointment ya mishkaki weye hatujaonana. hebu jipange umuachie mangi duka uje tuonane bwana
 

plagiarism is a serious crime.
 
Kweli kabisa ukikubali mwanamke akulee kwa kila kitu ujue ipo siku atajiona yeye ndo anakojoa kwa kusimama na wewe unakojoa kwa kuchuchumaa! Asilimia 99.9 ya wanawake wapo hivyo.

but its nature na culture pia zimetujenga hivyo japo wanaume wavivu wanakataa hili
 
Huyu Demu SIO SANA Anajiona Kama Ameshafika Mbinguni Vile.
ANA Kipaji lkn Mshamba wa Mafanikio, Hakosolewi Utadhani MUNGU hakosei Labda
 
Kumbe ni kweli walishaachana

Gadna nae alikuwa mzee wa totoz sio rahisi kuacha mambo yake

Ila jayde ngoja apumzike maana jamaa utulivu zero
 
hehehe wewe hapo ndo mkimbizi. mie najitolea kutibu ebola huku west africa. ntawaletea kidogo muonje joto ya jiwe.

cc snowhite
He he he, na sipigi mswaki. Unataka niongee ujihisi afu ukurupuke na matuthi?

Tukutaneni bana, nini mnakimbia kimbia?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…