Jaydee huu ni utoto sana tena sana

Jaydee huu ni utoto sana tena sana

Aisee mie huwa sikai around watu wanaojihisi. Cant tolarate mauza uza. Yaani mtu kila saa ooh mbona unaniangalia vibaya? kama jicho linaniwasha utajuaje sasa? Ooh umeninunia? ooh huniamini? kama unajijua sio wa kuaminiwa why unataka uaminiwe kwa kushawishi na maneno? khaaa

Njooni niwape ofa kama mna miguu ya kutembea. Firigisi bill on me. Muamue mnipe kidate halafu muanze kujihisi hehehe.:A S 11::A S 11:
Acha kabisa, kuna watu kwa kujihisi hawajambo.

Eti hata hizi komenti kuna watu huwa wanajihisi, unashangaa mitusi inaporomoshwa, khah!

Nimempania King'asti, nikimhisi tu atajiju.

ahahahaha uniite tumhisi wote,
'tamuanzishiaje thread zenye title za anchoma kumoyo!
atajibebaaaaje!
 
ndo maana naona mtoa mada anajichosha tu. wameachana or not hiyo wala sio shida kwetu. sie tunataka burudani tu, mengine watajijua huko:cool2::cool2:
King'asti kuandika post ni kujichosha? Mbona tunaandika mengi sana na watu wanashare kama kawaida...! Imekuwaje mimi kuandika jide aache vijembe asonge mbele iwe nongwa kiasi hiki! Jide hayuko perfect kama mtu mwingine yeyote, kumuandika yeye isionekane kama nimefanya kitu kibaya kabisa pls
 
Last edited by a moderator:
i concur and i rest my case
:llama::llama:
King'asti kuandika post ni kujichosha? Mbona tunaandika mengi sana na watu wanashare kama kawaida...! Imekuwaje mimi kuandika jide aache vijembe asonge mbele iwe nongwa kiasi hiki! Jide hayuko perfect kama mtu mwingine yeyote, kumuandika yeye isionekane kama nimefanya kitu kibaya kabisa pls
 
I will take this instance to register my staunch support for the fundamental principle of freedom of expression which, under the thinly veiled guise of decorum, is openly under attack.

Moreover, the vehement centrality of this noble ideal is further strengthened by the fact that I am no particular fan of Jaydee, in fact I detest her talentless lackluster less than church choir drab that passes for singing.

Neverthelss, my love for freedom of expression surpasses my abhorr for Jaydee. Hence, I will support her right to freedom of expression.

As long as it is within reason an doeS not overly encroach on that of others.

We nae una kiranga kwl km jina lako
 
Duu kweli kabisa King'asti uswahili mzigo ila personality ya Jide ndivyo ilivyo!!! Huu ndio ukweli na utabaki hivyo

Mawazo ya kipuuzi haya, kudhani kuwa ukiwa na sifa za kizunguzungu za kuiga unakuwa bora kuliko wenye za Kiswahili.
Upuuzi...
 
Last edited by a moderator:
plagiarism is a serious crime.

That you would think I plagiarized something I did not is actually a compliment to me.

Naomba unipe sehemu niliyo plagiarize. Hizi ni zama za mtandao, kama nime plagiarize weka sehemu yoyote kwenye google tuone.

Ukishindwa kunionyesha nilipo plagiarize nataka uniombe radhi haraka sana.

Umma wa JF unakuangalia.
 
King'asti kuandika post ni kujichosha? Mbona tunaandika mengi sana na watu wanashare kama kawaida...! Imekuwaje mimi kuandika jide aache vijembe asonge mbele iwe nongwa kiasi hiki! Jide hayuko perfect kama mtu mwingine yeyote, kumuandika yeye isionekane kama nimefanya kitu kibaya kabisa pls

Wewe kwanini unafikiri ni vijembe na si story ya kawaida na aina ya utunzi wake kuvutia hisia za mashabiki! Kwanini unalazimisha tuamini kuwa alikuwa anamsema G? Mbona tangazo liko clear kabisa na hakuna hivyo vijembe unavyo Sema? Mbona Wimbo wa Yahaya umetoka kitambo wakiwa na G? Kama hoja ni kwenye Tangazo kumalizia yahaya unaishi wapi si hoja ya msingi maana hata hivyo Tangazo lilimaliziwa na wimbo wa Yahaya nusu tuu!

Hivi hule wimbo wa Jide wa kama unataka kwenda waweza kwenda ukiondoka na usipo ondoka yote ni sawa unafikiri alimuimbia nani?

Umenifanya niwafikirie wale watu wakisikia.wimbo Fulani kwa jirani basi wanajua wamesemwa wao!
 
Last edited by a moderator:
:laugh::laugh: usnichekeshe bure mie mtoto wa kishua

Aisee mie huwa sikai around watu wanaojihisi. Cant tolarate mauza uza. Yaani mtu kila saa ooh mbona unaniangalia vibaya? kama jicho linaniwasha utajuaje sasa? Ooh umeninunia? ooh huniamini? kama unajijua sio wa kuaminiwa why unataka uaminiwe kwa kushawishi na maneno? khaaa

Njooni niwape ofa kama mna miguu ya kutembea. Firigisi bill on me. Muamue mnipe kidate halafu muanze kujihisi hehehe.:A S 11::A S 11:
 
Wewe ukirusha jiwe kwenye giza anayepiga kelele ndio lililompata.Tatizo sisi waswahili huwa hatujui behind the scene ila kwa kuongea.....?
 
Lakini huwezi badili situation kwa kutumia hiyo strategy...matatizo ya nyumbani unaenda kulalamika ofisini, ya ofisini unapeleka nyumbani...

Do something to change it or get the heck out. na njia pekee ni kuwa face wahusika na si kulalamika pembeni awe mume au boss wako wote ni kuwa na courage ya kuwa face....

nakubaliana na ww kuwa sio kila mahali pa kwenda kusemea au kila mtu wa kumweleza.. but hyo ni moja ya character ya m.ke pamoja na kulia.
 
Watu na Maisha yao ila yule Dada MTU Wa kisasi sana mfanyie mema MTU aliekutendea mabaya
 
Back
Top Bottom