Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Mo hatolewi kwa kelele za mtandaoni wala Redio,hatolewi na Mashabiki wala wapenzi, .Haya JayRuty amerahisisha kaz, wanasimba ni kusimama kumtoa MO.
Simba kikwazo ni Magori ambae ndio Mwenyekiti wa bodi anamlinda MwekezajiInaweza kuwa tetesi ila kuna ukweli ndani yake.
Mo na genge lake hawapendi sifa anazopewa Jayruty sababu
Usajili wa dirisha dogo pamoja na Jayruty kusajili mchezaji mmoja na kuwapa magari mapya wachezaji wa Simba sifa nyingi zilienda kwake hadi Magori akatoka kusema wachezaji wanasajiliwa na Simba lakini sio Jayruty ingawa ni Magori huyohuyo ndio anatuaminisha kila siku mo ndio anafanya usajili wa Simba.
Kitendo cha Jayruty kutoa ahadi na kuzitekeleza kinampa wakati mgumu mo kwani alizoea kudanganya wanasimba.
Kitendo cha Jayruty kusema atawajengea Simba uwanja wa kuchukua watazamaji 12000 na uwqnja kuwa mali ya Simba ni tofauti na mo anayewadanganya Simba atawajengea uwanja wa bilioni 30 na yeye kumiliki asilimia80 na klabu kubakia na asilimia20.
Jayruty amewafumbua macho wanasimba kuwa wanaweza kuishi bila mo.
Si ndio hao wanachama wanataka mkutano wa dharura ili katiba mpya ianze kazi mkuu?Mo hatolewi kwa kelele za mtandaoni wala Redio,hatolewi na Mashabiki wala wapenzi, .
Wanachama ( wenye KADI) ndio wakumtoa MO
Taarifa za uhakika ni kwamba boss Mo kaamua kukita mizizi pale msimbazi kiasi kwamba mzabuni wajezi kaona hakuna future nzuri.
Atavunja mkataba kwa gharama zake na yuko tayari kulipa fedha ya fidia kwa Simba ili aondoke.
Genius Mangungu unaupiga mwingi.
Mohammed DEWJI ndio kipotoshi wetu wanamichezo, maana sio kwa comedy hizi.Taarifa za uhakika ni kwamba boss Mo kaamua kukita mizizi pale msimbazi kiasi kwamba mzabuni wajezi kaona hakuna future nzuri.
Atavunja mkataba kwa gharama zake na yuko tayari kulipa fedha ya fidia kwa Simba ili aondoke.
Genius Mangungu unaupiga mwingi.
Safi SANA kama wanafikia huko, angalizo wasije kugawanyika TU,Team Mo,Team Mangungu, Team JayrutySi ndio hao wanachama wanataka mkutano wa dharura ili katiba mpya ianze kazi mkuu?
Mo hataki sasa.Bonafsi naona Kuna dalili ya kuongeza tu mkataba maana hiyo biashara haina hasara
Mo anaingia kwenye historia ya matapeli wakubwa walioingia kwenye mpira.Mo hataki sasa.
HahahaaMo anaingia kwenye historia ya matapeli wakubwa walioingia kwenye mpira.
Hao wanachama wenye kadi wanaweza kigharamikia timu?Mo hatolewi kwa kelele za mtandaoni wala Redio,hatolewi na Mashabiki wala wapenzi, .
Wanachama ( wenye KADI) ndio wakumtoa MO
Ni ngumu sana kwa tajiri kama MO kutishwa na maneno ya kwenye khanga. Hayo maneno ni kwa ajili ya maskini siku iende!Mo anaingia kwenye historia ya matapeli wakubwa walioingia kwenye mpira.