Jayson Tatum

Jayson Tatum

Kiduduye

Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
10
Reaction score
7
Jayson Tatum muda sio mrefu Dunia itamtambua huyu Bwana Mdogo wa Celtics. Dodgo ana 21 na alikuwa wa tatu kwenye draft ya msimu wa 2017/2018 lkn anavyowasumbua kina JR Smith na Tristan ni shida, mimi namtabiria makubwa sana dogo huenda akafika level za kina Carl Marone, Bill Russell, Michael Jordan au Kobe Bryant.
 
umemsahau luca doncic anatabiriwa kuwa namba one kwenye draft msimu ujao

so far ubingwa wa ulaya akiwa na real madrid akichaguliwa kuwa MVP

na ndyo kwanza ana miaka 19
 
Back
Top Bottom