Kiduduye
Member
- Jul 25, 2012
- 10
- 7
Jayson Tatum muda sio mrefu Dunia itamtambua huyu Bwana Mdogo wa Celtics. Dodgo ana 21 na alikuwa wa tatu kwenye draft ya msimu wa 2017/2018 lkn anavyowasumbua kina JR Smith na Tristan ni shida, mimi namtabiria makubwa sana dogo huenda akafika level za kina Carl Marone, Bill Russell, Michael Jordan au Kobe Bryant.