Jayson Tatum muda sio mrefu Dunia itamtambua huyu Bwana Mdogo wa Celtics. Dodgo ana 21 na alikuwa wa tatu kwenye draft ya msimu wa 2017/2018 lkn anavyowasumbua kina JR Smith na Tristan ni shida, mimi namtabiria makubwa sana dogo huenda akafika level za kina Carl Marone, Bill Russell, Michael Jordan au Kobe Bryant.
Askari magerezaAaagr mi nlijua Tatum wa Jf...