agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzo 1:28
Kuna majibu ya Afrika?Mwanzo 1:28
Mkuu, ebu lete hapa yalio andikwa kwenye huo mstari..tehUmenifanya nitafute biblia kupitia huu mstari[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna majibu ya Afrika?
Mkaijaze dunia...sioNdio mkuu.
Ni kama Mungu alipo fanya ahadi Genesis 9:1
Mkuu, ebu lete hapa yalio andikwa kwenye huo mstari..teh
Kumbe Ndo kazi yetuMwanzo 1:28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
Mwanzo 1:28