JB Mpiana Asababisha Koffi Olomide Kujificha Kwa Aibu

Nimeiangalia hiyo code morale sio nzur kuliko ngoma ya koffie

Sasa Kama Hata Siyo Fundi Wa Mziki Utawezaje Kujua Mkuu? Njoo Nikufundishe Muziki Ili Uweze Kujua Kutambua Nyimbo Tamu Na Nzuri.
 
Hahahahahaaaa
UncleBen Mussolin5
Kuna vita yanukia huku...
 

Kujiproud Ni JADI YETU WANYARWANDA Tena Wa Kabila La WATUTSI Na Hii INATOKANA Kwamba Sisi Ndiyo WAAFRIKA Wa Kwanza Kuwa Na UWEZO MKUBWA WA AKILI Wengine Mnafuata. Kujibu Swali Lako Kuhusu PAPA CHERIE ( JB Mpiana ) Kukimbiwa Na Wanamuziki Wake Kwanza Nikiri Kuwa Ni Kweli Na Waliokimbia Ni:
  • Muimbaji Chai Ngenge
  • Muimbaji Djino Equalizer
  • Muimbaji Bogis Bompema
  • Rapa Mahiri Yombo Lumbu au TUTU CALUDJI " Le Kalunjiste "
  • Muimbaji Alain Mpela Afande Ambaye Mdogo Wake Yuko Kwa Koffi Olomide Anaitwa Bouro Mpela Geco
  • Mpiga Solo Guitar Patty Moleso " Le Tabe Pasomanii "
Huku Muimbaji Chipukizi Tatty Nkusa AKIFARIKI Mwaka Jana Kwa Ajali Ya Pikipiki Mjini Kinshasa.

Sasa Ili Kukuonyesha Kuwa Bendi Ya WENGE MUSICA BCBG Kupewa Jina La Timu Ya Taifa Ya DRC " Le Equipe Nationale " Haikuwa KIMAKOSA Angalia Watu Walioziba Nafasi Za Hao Walioondoka Ambapo:

  • Nafasi Ya Chai Ngenge Sasa Kaziba Kijana Aitwae Erick Mente
  • Nafasi Ya Djino Equalizer Sasa Kaziba Kijana Handsome Kipenzi Cha Mabinti Aitwae Nono Fudji.
  • Nafasi Ya Bogis Bompema Sasa Kaziba Kijana Mahiri Aitwae Abram Mignon
  • Nafasi Ya Rapa Mahiri Tutu Caludgi Sasa Imezibwa Vilivyo Na Rapa HATARI Pitshou Gentamycine Antibiotique
  • Nafasi Ya Alain Mpela Imezibwa Vilivyo Na Bishoo Aitwae Jean Didier Loko ( JDL ) Na Ameimudu Mno
  • Nafasi Ya Mpiga Gitaa La Solo Patty Moleso Imezibwa Vizuri Na Kijana Schevchenko Patou Solo
Huku Hiyo Nafasi Ya Huyo Muimbaji ALIYEFARIKI Kwa Ajali Ya Gari Tatty Nkusa Imezibwa Na Muimbaji Anayekuja Kwa Kasi Sasa Aitwae Zulie Zulema.

Nifah Upo? Nawapenda WENGE MUSICA BCBG KULIKO HATA ROHO YANGU Na MOYO WANGU.
 
Yani dada Jeni aka GENTAMYCINE anapenda ligi za kipuuzi!

Tokea Uwekewe " Hogo " P.O.P Katika Njia Yako Ya Kutolea Haja Kubwa Baada Ya Kubakwa Na Masela Hapo Lugalo Kwa KUFUMANIWA Naona Unatafuta Sasa Wa KUKUCHUA Kama Siyo KUKUTOA Hizo NYUZI. Nadhani Unanijua Vilivyo Na Hapa Ndiyo Nimeanza!
 

Huyu Mopao hafananishwi na kiumbe yoyote pale Congo... tusiende mbali kamata kitu cha motooo kabisa hicho hapo Tournevis....Mwalimu atabaki kuwa mwalimu tuu

 
Sasa Kama Hata Siyo Fundi Wa Mziki Utawezaje Kujua Mkuu? Njoo Nikufundishe Muziki Ili Uweze Kujua Kutambua Nyimbo Tamu Na Nzuri.
Kwa hiyo mziki unaujua wewe peke yako?

Hivi kweli wimbo mzuri uliowashika watu vilivyo unahitaji watu kufundishwa ili waujue ni wimbo mzuri?

Selfie ilivyotoka hatukuhitaji mafundi kutuambia kuwa selfie ni wimbo mzuri, wote ni mashahidi ume hit Africa mzima

Sasa mpiana anatoa wimbo mpya haupigwi popote, radio stations haziupigi, mtu mmoja ndio anakuja kutuambia mpiana katoa wimbo mpya, kumbe wimbo wenyewe upo tangu mwaka jana na hakuna anaeujua

Bado naikumbuka sana wenge ya 90s niliipenda sana, lakini hii ya MPIANA kwa kweli hamna kitu
 

Ha haa..dah watu wametoka mbali..hapo namuona allan makaba akipiga solo huyu sasa anaish gabon..Blaise bula huyo anaecheza na makaba huyu alipojitoa wenge ameshindwa kusimama na bendi yake..kuna huyo anayepiga bes aliacha mziki then akafarikii
 
Tokea Uwekewe " Hogo " P.O.P Katika Njia Yako Ya Kutolea Haja Kubwa Baada Ya Kubakwa Na Masela Hapo Lugalo Kwa KUFUMANIWA Naona Unatafuta Sasa Wa KUKUCHUA Kama Siyo KUKUTOA Hizo NYUZI. Nadhani Unanijua Vilivyo Na Hapa Ndiyo Nimeanza!
Hahahahaa uwiiiiii khaaaa....
Noma sana.
 
Wewe CHENJEU Mbona Unawadanganya Watu? Halafu Hao Mashosti Zako Akina Nifah Na Wenzake Mbona Unawapaisha Kila Thread Yako Mpaka Kero? Ulichoandika Hapo Juu Ni Uongo Uliobobea.
 
Huyu Jamaa Anawapiga Watu Kamba Vibaya Kulikobobea
 
Wewe CHENJEU Mbona Unawadanganya Watu? Halafu Hao Mashosti Zako Akina Nifah Na Wenzake Mbona Unawapaisha Kila Thread Yako Mpaka Kero? Ulichoandika Hapo Juu Ni Uongo Uliobobea.
Lol!
Nimecheka hadi kichwa kinauma....
 
Kuna mambo mawili, kuteka soko la muziki na kuibua vipaji, Koffi yuko juu. Ila muimbaji mzuri na band inayowakonga wanaojua muziki wa kizazi cha 3-4 cha Muziki wa Soukous, Jean Bedel Mpiana na Le Groupe Wenge BCBG hana mpinzani!
Wimbo wenyewe wa zamani.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…