ngoshombasa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 435
- 233
Ni huu? Ngoja niusikilize kwanza.
Mbona wimbo wenyewe hovyo tu....clip nzima tunaonyeshwa rasta na Bonge anavuta cigar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni huu? Ngoja niusikilize kwanza.
Nimeiangalia hiyo code morale sio nzur kuliko ngoma ya koffie
HahahahahaaaaWe popoma hebu thibitisha au kanusha,habari hii ambayo imesikika kwa yule mtangazaji Nguli wa muziki wa Congo.Na ambaye ki ukweli hakuna mtangazaji anayemfikia hapa Bongo kwa kujuza habari za muziki na wanamuziki Wa congo na hata muziki wenyewe anaujua Anaitwa Zuberi Msabaha wa Radio free Africa.Alisema JB mpiana amekimbiwa na idadi kubwa ya wanamuziki siku za hivi karibuni.Nilifedheheka sana maana mie pia na mpenzi wa JB Mpiana.Koffi alipokuja hapa nilisoma post yako,na nilikupongeza kimoyomoyo sikutaka kukupa LIKE live,maana shida yako unajiproud sana.
We popoma hebu thibitisha au kanusha,habari hii ambayo imesikika kwa yule mtangazaji Nguli wa muziki wa Congo.Na ambaye ki ukweli hakuna mtangazaji anayemfikia hapa Bongo kwa kujuza habari za muziki na wanamuziki Wa congo na hata muziki wenyewe anaujua Anaitwa Zuberi Msabaha wa Radio free Africa.Alisema JB mpiana amekimbiwa na idadi kubwa ya wanamuziki siku za hivi karibuni.Nilifedheheka sana maana mie pia na mpenzi wa JB Mpiana.Koffi alipokuja hapa nilisoma post yako,na nilikupongeza kimoyomoyo sikutaka kukupa LIKE live,maana shida yako unajiproud sana.
Yani dada Jeni aka GENTAMYCINE anapenda ligi za kipuuzi!
Huku Nikitoa ONYO Mapema Tu Kwa Wale Mliokuwa Wapenzi Wa KOFFI OLOMIDE Mlipokuwa MKIUSIFIA Wimbo Wa " SELFIE " Wenye Kibwagizo Cha " Ekotitee " Kuwa Siku Ambayo Bingwa Wa Muziki Wa DRC Nzima JEAN BEDELE TSHITUKA MPIANA Akiibuka Mtatafuta Mahala Mjifiche Hamkunielewa.
Ni Muda Mfupi Tu Uliopita JB Mpiana Na Kundi Lake Zima La Wenge Musica BCBG Ametoka Kuachia ALBUM Yenye Nyimbo Mmoja Mkali Na Mtamu Sana Uitwao CODE MORAL. Inasemekana Baada Ya JB Mpiana Kupakuwa Hiyo ALBUM Koffi Olomide Aliposikilizishwa Tu AKAMPIGIA Salute JB MPIANA.
Katika Hiyo ALBUM Marepa MASHUHURI Namba Moja GENTAMYCINE ANTIBIOTIQUE, Namba Mbili CELLULAIRE, Namba Tatu PAJO Na Namba Nne BIN LADEN Wamefanya VITU VIKUBWA Ambavyo Kwa Hakika VIMEMFUNIKA VILIVYO Koffi Olomide Hadi Sasa Anaomba " PO " Kwa JB Mpiana.
Na Katika Kuinogesha Hiyo ALBUM JB Mpiana Safari Hii Ameamua Kuwashirikisha Wapiga Gitaa La Solo Wake MAARUFU Chipukizi Aitwae Schevchenko Patou Solo Na Burkina Faso Mboka Liya Huku Safari Hii Katika Gitaa La Rhythm Akimrudisha Jembe Liitwalo ALBA ALCOMPA NYERO Na Kumpumzisha Zygal Wakati Katika Drums Akimuacha Yule Yule Bingwa Wa KUKAANGA Chips DRC Nzima Seguin Mignon Maniata Na Katika Gitaa La KUBAHASHIA au Bass Guitar Akiachwa Yule Yule Mkongwe Sunda Bass Le Pro Huku Utamu Wote Wa KINANDA Safari Hii Akiachiwa Geremi Kitubu Asimamie Show Nzima.
Nadhani Sasa Wale MASHABIKI Wa KOFFI OLOMODE Akina Nifah, Mussolin5, UncleBen, miss chagga Na Wengineo Sasa MTAIKUBALI Wenge Musica BCBG Yake JB Mpiana Na Siku Nyingine Mwambieni Koffi Olomide Wenu Ashindane Na Wote Ila Siyo WENGE MUSICA BCBG. Itafuteni Hiyo Album MSUUZIKE. Hakika JB Mpiana HAKUKOSEA Alipoiita Bendi Yake Kuwa Ni " Le Equipe Nationale " Yaani TIMU YA TAIFA Kwani Hiyo Bendi IMESHEHENI MAFUNDI WATUPU Na WALIOTUKUKA.
Wana WENGE MUSICA BCBG Wenzangu FURAHINI Sasa Kwani Koffi Olomide Kasalimu AMRI Kwa JB MPIANA.
Kwa hiyo mziki unaujua wewe peke yako?Sasa Kama Hata Siyo Fundi Wa Mziki Utawezaje Kujua Mkuu? Njoo Nikufundishe Muziki Ili Uweze Kujua Kutambua Nyimbo Tamu Na Nzuri.
Mhhh, unanikumbusha wakati wakiwa bado Vijana wadogo wakisoma Chuo Kikuu.
Ila huyu jamaa naona anachemsha au mie ndiyo nachemsha kwani wimbo wa Code Moral mbona upo zaidi ya miaka 4 iliyopita Youtube na yeye anasema ni mpya?
Wote sasa wamenenepa sana. Huwezi kuamini ni Mpiana huyo. Nywele zote kata huko. Kabaki Werrason na nani sijui.
Hahahahaa uwiiiiii khaaaa....Tokea Uwekewe " Hogo " P.O.P Katika Njia Yako Ya Kutolea Haja Kubwa Baada Ya Kubakwa Na Masela Hapo Lugalo Kwa KUFUMANIWA Naona Unatafuta Sasa Wa KUKUCHUA Kama Siyo KUKUTOA Hizo NYUZI. Nadhani Unanijua Vilivyo Na Hapa Ndiyo Nimeanza!
Ni huu? Ngoja niusikilize kwanza.
Wewe CHENJEU Mbona Unawadanganya Watu? Halafu Hao Mashosti Zako Akina Nifah Na Wenzake Mbona Unawapaisha Kila Thread Yako Mpaka Kero? Ulichoandika Hapo Juu Ni Uongo Uliobobea.Huku Nikitoa ONYO Mapema Tu Kwa Wale Mliokuwa Wapenzi Wa KOFFI OLOMIDE Mlipokuwa MKIUSIFIA Wimbo Wa " SELFIE " Wenye Kibwagizo Cha " Ekotitee " Kuwa Siku Ambayo Bingwa Wa Muziki Wa DRC Nzima JEAN BEDELE TSHITUKA MPIANA Akiibuka Mtatafuta Mahala Mjifiche Hamkunielewa.
Ni Muda Mfupi Tu Uliopita JB Mpiana Na Kundi Lake Zima La Wenge Musica BCBG Ametoka Kuachia ALBUM Yenye Nyimbo Mmoja Mkali Na Mtamu Sana Uitwao CODE MORAL. Inasemekana Baada Ya JB Mpiana Kupakuwa Hiyo ALBUM Koffi Olomide Aliposikilizishwa Tu AKAMPIGIA Salute JB MPIANA.
Katika Hiyo ALBUM Marepa MASHUHURI Namba Moja GENTAMYCINE ANTIBIOTIQUE, Namba Mbili CELLULAIRE, Namba Tatu PAJO Na Namba Nne BIN LADEN Wamefanya VITU VIKUBWA Ambavyo Kwa Hakika VIMEMFUNIKA VILIVYO Koffi Olomide Hadi Sasa Anaomba " PO " Kwa JB Mpiana.
Na Katika Kuinogesha Hiyo ALBUM JB Mpiana Safari Hii Ameamua Kuwashirikisha Wapiga Gitaa La Solo Wake MAARUFU Chipukizi Aitwae Schevchenko Patou Solo Na Burkina Faso Mboka Liya Huku Safari Hii Katika Gitaa La Rhythm Akimrudisha Jembe Liitwalo ALBA ALCOMPA NYERO Na Kumpumzisha Zygal Wakati Katika Drums Akimuacha Yule Yule Bingwa Wa KUKAANGA Chips DRC Nzima Seguin Mignon Maniata Na Katika Gitaa La KUBAHASHIA au Bass Guitar Akiachwa Yule Yule Mkongwe Sunda Bass Le Pro Huku Utamu Wote Wa KINANDA Safari Hii Akiachiwa Geremi Kitubu Asimamie Show Nzima.
Nadhani Sasa Wale MASHABIKI Wa KOFFI OLOMODE Akina Nifah, Mussolin5, UncleBen, miss chagga Na Wengineo Sasa MTAIKUBALI Wenge Musica BCBG Yake JB Mpiana Na Siku Nyingine Mwambieni Koffi Olomide Wenu Ashindane Na Wote Ila Siyo WENGE MUSICA BCBG. Itafuteni Hiyo Album MSUUZIKE. Hakika JB Mpiana HAKUKOSEA Alipoiita Bendi Yake Kuwa Ni " Le Equipe Nationale " Yaani TIMU YA TAIFA Kwani Hiyo Bendi IMESHEHENI MAFUNDI WATUPU Na WALIOTUKUKA.
Wana WENGE MUSICA BCBG Wenzangu FURAHINI Sasa Kwani Koffi Olomide Kasalimu AMRI Kwa JB MPIANA.
Huyu Jamaa Anawapiga Watu Kamba Vibaya KulikobobeaKwa hiyo mziki unaujua wewe peke yako?
Hivi kweli wimbo mzuri uliowashika watu vilivyo unahitaji watu kufundishwa ili waujue ni wimbo mzuri?
Selfie ilivyotoka hatukuhitaji mafundi kutuambia kuwa selfie ni wimbo mzuri, wote ni mashahidi ume hit Africa mzima
Sasa mpiana anatoa wimbo mpya haupigwi popote, radio stations haziupigi, mtu mmoja ndio anakuja kutuambia mpiana katoa wimbo mpya, kumbe wimbo wenyewe upo tangu mwaka jana na hakuna anaeujua
Bado naikumbuka sana wenge ya 90s niliipenda sana, lakini hii ya MPIANA kwa kweli hamna kitu
Lol!Wewe CHENJEU Mbona Unawadanganya Watu? Halafu Hao Mashosti Zako Akina Nifah Na Wenzake Mbona Unawapaisha Kila Thread Yako Mpaka Kero? Ulichoandika Hapo Juu Ni Uongo Uliobobea.
Wimbo wenyewe wa zamani.......Kuna mambo mawili, kuteka soko la muziki na kuibua vipaji, Koffi yuko juu. Ila muimbaji mzuri na band inayowakonga wanaojua muziki wa kizazi cha 3-4 cha Muziki wa Soukous, Jean Bedel Mpiana na Le Groupe Wenge BCBG hana mpinzani!
Anapiga kamba kulikotukuka...Huyu Jamaa Anawapiga Watu Kamba Vibaya Kulikobobea
Na Wewe Ni Mnyarwanda?Lol!
Nimecheka hadi kichwa kinauma....
Tena NILIYETUKUKA!Na Wewe Ni Mnyarwanda?
Huyu Chenjeu Mbona Anawapaisha Kulikobobea MNO, Mmempa Nini?Tena NILIYETUKUKA!