JB Mpiana Asababisha Koffi Olomide Kujificha Kwa Aibu

Kijana GENTAMYCINE sikia, ni vizuri kuwa na facts si kuongea utumbo tu. Hapa kuna tunaojuwa Kilingala na wafuatiliaji wa muziki wa dansi wa nyumbani na DRC. Kwa kifupi huo wimbo unaosema wewe wa "Code Moral" ni wa 2010 na toka hapo JB na kundi lake hajatoa album yeyote. DRC wanadai kaishiwa na hana jipya, ushahidi huu hapa:
 

MTOA MADA CODE MORAL YA JB MPIANA IMETOKA MIAKA 5 ILIYOPITA, 2011 SIO WIMBO MPYA.

Album MPYA ya JB MPIANA (2016) INAITWA Blanchard MOSAKA
 
Ni dhambi ambayo hutasemehewa kumlinganisha Mutukufu Mopao na JB Mpiana!

Hii dhambi haita kuacha kamwe! Yani Hii inayoiita timu ya taifaa a.k.a taifa star ya Mkwasa unamlinganisha na mutu ya muziki, mutu ya watu, mutu ya kila kitu muzee Mopao? Huu ni utani uliovuka nipaka!


Kwanza tuli, wejapozi, twtango mafito! kwaaaa twanga mafoto kwaaaaaaa ha ha ha ekotile ekotileee (naona umeanza kuzungusha mkono na kiuno!)
 
Code Moral....Dah!

Mbona wimbo wa zamani sana huu Chifu...Tangu 2010/2011...
 

Sasa NISINGEWACHOKOZENI Hivi Ningejuaje Kama JB MPIANA Katoa Kitu Kipya au Hapana? Akhsanteni Kwa Kuchangia Ila Nimeambiwa Kumbe Hata Wimbo Wa Koffi Wa SELFIE Ni Wa Mwaka 2011 Ila Kwakuwa Huku TANZANIA TEKNOLOJIA BADO NI TATIZO Ndiyo Tume Ekotika Nae Ile Majuzi Alipokuja Bongo.
 
Mkuu huu Wimbo ni wakawaida Sana! Haufiki hata kwa ule wa Kaokoko kologo! Ekotite iko juu Sana! Yaani ktk 100% ekotite inachukua 75%.
 


Sikia hata wakongo wenyewe wanajuwa kuwa JB kaishiwa siku hizi.....unaambiwa hana jipya, yeye hupiga play back tu. Naomba unitajie album ya JB na Wenge toka 2010 baada ya "Soyons Seriex." Hakuna, kwa taarifa yako "Selfie" si wimbo wa 2011, usilete habari uchwara hapa.
 



Mkuu, hizi habari umezitoa wapi? Mbona JB kama amekufa kimuziki toka 2011? Jamaa hana jipya kabisa, yupo tu anaendekeza kitambi chake,
 
Kuna watu waongo duu!!jamaa anatajataja majina mapopoma wenzie wanakubali kwamba anaijua BCBG
 
Kuna watu waongo duu!!jamaa anatajataja majina mapopoma wenzie wanakubali kwamba anaijua BCBG

Naona Sasa Vijana Mmeanza KULISHIKA Na KULIKUBALI Neno Langu Pendwa La Kimsamiati La " POPOMA " Na Sasa Kila Mtu Humu JF, Maofisini, Majumbani Na Mitaani Watu Wanalitumia Mno Na LIMESHIKA KASI Sana. Lengo Langu Limetimia Na Huyo Ndiyo " Le Mathematicien GENTAMYCINE " Ambaye Akianzisha Kitu au Jambo Basi Lazima Wengine WATAFUATA Tu. Ukiwa Na VIPAJI VINGI Halafu UMEBARIKIWA Na Mwenyezi Mungu RAHA SANA.
 
Mkuu una degree ya misifa una undugu na Dully?yaan ili Kabila hata lofa anajisifia
 
Mkuu una degree ya misifa una undugu na Dully?yaan ili Kabila hata lofa anajisifia

Ndiyo Ujinga Wa huyo Dogo. Hivi huku huwa unatafuta nini, wafuate wenzio huko facebook. Koma kabisa kuja greathinkers, shenzi kabisa
 
Mkuu una degree ya misifa una undugu na Dully?yaan ili Kabila hata lofa anajisifia

Mkuu Sina Tu Degree Ya SIFA Nadhani Sasa Nina Mpaka PhD Kabisa Ya SIFA. Na Ukiona NAJISIFIA Hivi Ujue Nina VITU ADIMU Ambavyo Pengine Ni Nadra Mno Kupatikana Hata Katika KOO Zako Zote Mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…