Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Chenjeu Mbona Anawapaisha Kulikobobea MNO, Mmempa Nini?
Huku Nikitoa ONYO Mapema Tu Kwa Wale Mliokuwa Wapenzi Wa KOFFI OLOMIDE Mlipokuwa MKIUSIFIA Wimbo Wa " SELFIE " Wenye Kibwagizo Cha " Ekotitee " Kuwa Siku Ambayo Bingwa Wa Muziki Wa DRC Nzima JEAN BEDELE TSHITUKA MPIANA Akiibuka Mtatafuta Mahala Mjifiche Hamkunielewa.
Ni Muda Mfupi Tu Uliopita JB Mpiana Na Kundi Lake Zima La Wenge Musica BCBG Ametoka Kuachia ALBUM Yenye Nyimbo Mmoja Mkali Na Mtamu Sana Uitwao CODE MORAL. Inasemekana Baada Ya JB Mpiana Kupakuwa Hiyo ALBUM Koffi Olomide Aliposikilizishwa Tu AKAMPIGIA Salute JB MPIANA.
Katika Hiyo ALBUM Marepa MASHUHURI Namba Moja GENTAMYCINE ANTIBIOTIQUE, Namba Mbili CELLULAIRE, Namba Tatu PAJO Na Namba Nne BIN LADEN Wamefanya VITU VIKUBWA Ambavyo Kwa Hakika VIMEMFUNIKA VILIVYO Koffi Olomide Hadi Sasa Anaomba " PO " Kwa JB Mpiana.
Na Katika Kuinogesha Hiyo ALBUM JB Mpiana Safari Hii Ameamua Kuwashirikisha Wapiga Gitaa La Solo Wake MAARUFU Chipukizi Aitwae Schevchenko Patou Solo Na Burkina Faso Mboka Liya Huku Safari Hii Katika Gitaa La Rhythm Akimrudisha Jembe Liitwalo ALBA ALCOMPA NYERO Na Kumpumzisha Zygal Wakati Katika Drums Akimuacha Yule Yule Bingwa Wa KUKAANGA Chips DRC Nzima Seguin Mignon Maniata Na Katika Gitaa La KUBAHASHIA au Bass Guitar Akiachwa Yule Yule Mkongwe Sunda Bass Le Pro Huku Utamu Wote Wa KINANDA Safari Hii Akiachiwa Geremi Kitubu Asimamie Show Nzima.
Nadhani Sasa Wale MASHABIKI Wa KOFFI OLOMODE Akina Nifah, Mussolin5, UncleBen, miss chagga Na Wengineo Sasa MTAIKUBALI Wenge Musica BCBG Yake JB Mpiana Na Siku Nyingine Mwambieni Koffi Olomide Wenu Ashindane Na Wote Ila Siyo WENGE MUSICA BCBG. Itafuteni Hiyo Album MSUUZIKE. Hakika JB Mpiana HAKUKOSEA Alipoiita Bendi Yake Kuwa Ni " Le Equipe Nationale " Yaani TIMU YA TAIFA Kwani Hiyo Bendi IMESHEHENI MAFUNDI WATUPU Na WALIOTUKUKA.
Wana WENGE MUSICA BCBG Wenzangu FURAHINI Sasa Kwani Koffi Olomide Kasalimu AMRI Kwa JB MPIANA.
Kama wadau wanasema wimbo sio mpya unawezakuta hata hayo majina ni ya wachezaji wa Tp Mazembe.
Unamaanisha Jamaa Ni Mchicha Mwiba Au Maarufu McheleMchele?Labda walimpa kunako kulikotukuka,si unajua GENTAMYCINE ni popoma wa mapenzi?
Code Moral....Dah!Huku Nikitoa ONYO Mapema Tu Kwa Wale Mliokuwa Wapenzi Wa KOFFI OLOMIDE Mlipokuwa MKIUSIFIA Wimbo Wa " SELFIE " Wenye Kibwagizo Cha " Ekotitee " Kuwa Siku Ambayo Bingwa Wa Muziki Wa DRC Nzima JEAN BEDELE TSHITUKA MPIANA Akiibuka Mtatafuta Mahala Mjifiche Hamkunielewa.
Ni Muda Mfupi Tu Uliopita JB Mpiana Na Kundi Lake Zima La Wenge Musica BCBG Ametoka Kuachia ALBUM Yenye Nyimbo Mmoja Mkali Na Mtamu Sana Uitwao CODE MORAL. Inasemekana Baada Ya JB Mpiana Kupakuwa Hiyo ALBUM Koffi Olomide Aliposikilizishwa Tu AKAMPIGIA Salute JB MPIANA.
Katika Hiyo ALBUM Marepa MASHUHURI Namba Moja GENTAMYCINE ANTIBIOTIQUE, Namba Mbili CELLULAIRE, Namba Tatu PAJO Na Namba Nne BIN LADEN Wamefanya VITU VIKUBWA Ambavyo Kwa Hakika VIMEMFUNIKA VILIVYO Koffi Olomide Hadi Sasa Anaomba " PO " Kwa JB Mpiana.
Na Katika Kuinogesha Hiyo ALBUM JB Mpiana Safari Hii Ameamua Kuwashirikisha Wapiga Gitaa La Solo Wake MAARUFU Chipukizi Aitwae Schevchenko Patou Solo Na Burkina Faso Mboka Liya Huku Safari Hii Katika Gitaa La Rhythm Akimrudisha Jembe Liitwalo ALBA ALCOMPA NYERO Na Kumpumzisha Zygal Wakati Katika Drums Akimuacha Yule Yule Bingwa Wa KUKAANGA Chips DRC Nzima Seguin Mignon Maniata Na Katika Gitaa La KUBAHASHIA au Bass Guitar Akiachwa Yule Yule Mkongwe Sunda Bass Le Pro Huku Utamu Wote Wa KINANDA Safari Hii Akiachiwa Geremi Kitubu Asimamie Show Nzima.
Nadhani Sasa Wale MASHABIKI Wa KOFFI OLOMODE Akina Nifah, Mussolin5, UncleBen, miss chagga Na Wengineo Sasa MTAIKUBALI Wenge Musica BCBG Yake JB Mpiana Na Siku Nyingine Mwambieni Koffi Olomide Wenu Ashindane Na Wote Ila Siyo WENGE MUSICA BCBG. Itafuteni Hiyo Album MSUUZIKE. Hakika JB Mpiana HAKUKOSEA Alipoiita Bendi Yake Kuwa Ni " Le Equipe Nationale " Yaani TIMU YA TAIFA Kwani Hiyo Bendi IMESHEHENI MAFUNDI WATUPU Na WALIOTUKUKA.
Wana WENGE MUSICA BCBG Wenzangu FURAHINI Sasa Kwani Koffi Olomide Kasalimu AMRI Kwa JB MPIANA.
Kijana GENTAMYCINE sikia, ni vizuri kuwa na facts si kuongea utumbo tu. Hapa kuna tunaojuwa Kilingala na wafuatiliaji wa muziki wa dansi wa nyumbani na DRC. Kwa kifupi huo wimbo unaosema wewe wa "Code Moral" ni wa 2010 na toka hapo JB na kundi lake hajatoa album yeyote. DRC wanadai kaishiwa na hana jipya, ushahidi huu hapa:
Sasa NISINGEWACHOKOZENI Hivi Ningejuaje Kama JB MPIANA Katoa Kitu Kipya au Hapana? Akhsanteni Kwa Kuchangia Ila Nimeambiwa Kumbe Hata Wimbo Wa Koffi Wa SELFIE Ni Wa Mwaka 2011 Ila Kwakuwa Huku TANZANIA TEKNOLOJIA BADO NI TATIZO Ndiyo Tume Ekotika Nae Ile Majuzi Alipokuja Bongo.
Huku Nikitoa ONYO Mapema Tu Kwa Wale Mliokuwa Wapenzi Wa KOFFI OLOMIDE Mlipokuwa MKIUSIFIA Wimbo Wa " SELFIE " Wenye Kibwagizo Cha " Ekotitee " Kuwa Siku Ambayo Bingwa Wa Muziki Wa DRC Nzima JEAN BEDELE TSHITUKA MPIANA Akiibuka Mtatafuta Mahala Mjifiche Hamkunielewa.
Ni Muda Mfupi Tu Uliopita JB Mpiana Na Kundi Lake Zima La Wenge Musica BCBG Ametoka Kuachia ALBUM Yenye Nyimbo Mmoja Mkali Na Mtamu Sana Uitwao CODE MORAL. Inasemekana Baada Ya JB Mpiana Kupakuwa Hiyo ALBUM Koffi Olomide Aliposikilizishwa Tu AKAMPIGIA Salute JB MPIANA.
Katika Hiyo ALBUM Marepa MASHUHURI Namba Moja GENTAMYCINE ANTIBIOTIQUE, Namba Mbili CELLULAIRE, Namba Tatu PAJO Na Namba Nne BIN LADEN Wamefanya VITU VIKUBWA Ambavyo Kwa Hakika VIMEMFUNIKA VILIVYO Koffi Olomide Hadi Sasa Anaomba " PO " Kwa JB Mpiana.
Na Katika Kuinogesha Hiyo ALBUM JB Mpiana Safari Hii Ameamua Kuwashirikisha Wapiga Gitaa La Solo Wake MAARUFU Chipukizi Aitwae Schevchenko Patou Solo Na Burkina Faso Mboka Liya Huku Safari Hii Katika Gitaa La Rhythm Akimrudisha Jembe Liitwalo ALBA ALCOMPA NYERO Na Kumpumzisha Zygal Wakati Katika Drums Akimuacha Yule Yule Bingwa Wa KUKAANGA Chips DRC Nzima Seguin Mignon Maniata Na Katika Gitaa La KUBAHASHIA au Bass Guitar Akiachwa Yule Yule Mkongwe Sunda Bass Le Pro Huku Utamu Wote Wa KINANDA Safari Hii Akiachiwa Geremi Kitubu Asimamie Show Nzima.
Nadhani Sasa Wale MASHABIKI Wa KOFFI OLOMODE Akina Nifah, Mussolin5, UncleBen, miss chagga Na Wengineo Sasa MTAIKUBALI Wenge Musica BCBG Yake JB Mpiana Na Siku Nyingine Mwambieni Koffi Olomide Wenu Ashindane Na Wote Ila Siyo WENGE MUSICA BCBG. Itafuteni Hiyo Album MSUUZIKE. Hakika JB Mpiana HAKUKOSEA Alipoiita Bendi Yake Kuwa Ni " Le Equipe Nationale " Yaani TIMU YA TAIFA Kwani Hiyo Bendi IMESHEHENI MAFUNDI WATUPU Na WALIOTUKUKA.
Wana WENGE MUSICA BCBG Wenzangu FURAHINI Sasa Kwani Koffi Olomide Kasalimu AMRI Kwa JB MPIANA.
Kuna watu waongo duu!!jamaa anatajataja majina mapopoma wenzie wanakubali kwamba anaijua BCBG
Mkuu una degree ya misifa una undugu na Dully?yaan ili Kabila hata lofa anajisifiaNaona Sasa Vijana Mmeanza KULISHIKA Na KULIKUBALI Neno Langu Pendwa La Kimsamiati La " POPOMA " Na Sasa Kila Mtu Humu JF, Maofisini, Majumbani Na Mitaani Watu Wanalitumia Mno Na LIMESHIKA KASI Sana. Lengo Langu Limetimia Na Huyo Ndiyo " Le Mathematicien GENTAMYCINE " Ambaye Akianzisha Kitu au Jambo Basi Lazima Wengine WATAFUATA Tu. Ukiwa Na VIPAJI VINGI Halafu UMEBARIKIWA Na Mwenyezi Mungu RAHA SANA.
Mkuu una degree ya misifa una undugu na Dully?yaan ili Kabila hata lofa anajisifia