Waonyeshe umahiri wao kwa kuipeleka sanaa ya filamu bongo next level waache kupiga mark time miaka nenda miaka rudi, Wanaume wazima wanaojiita "BONGO MUVIE" wanashikwa nyota na "MDOSI" miaka yote hakuna anayegutuka. Waungane watafute dunia ya filamu ilipo, Waache ujinga. Wameshapata vya kutosha kutoka kwa mdosi . Mdosi ni mdosi kamwe hawezi kubadilika, muangalie KANJI na SHABANI wake EATV.