JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

nilipata kuangalia vipande vya JB enzi akiwa anaigiza na kina Bishanga ITV jamaa namkubali mpaka kesho japo sijabahatika kuona movie zake kwa sasa
 
Wee Kanumba alikua moto wa kuotea mbali.Ila
Kwa sasa JB anatisha sana...
 
yaani ray ni very fake!! i hate kila afanyacho except kuwa fake! jb ni zaidi ya ray by far!
 
RAY+KANUMBA watoto san kwa mzee JB kichwa!!!
Yan kucompare JB na RAY n sawa maj na mafuta au FACEBOOK na JF
 
Kweli Jb Ni Noma Kama Unabisha Angalia Movies Zake Kama
1.tax Driver
2.lost Adam Uone Mshikaji Anavyo Vaa Uhusika Kuliko Huyo Asiye Maliza Movie Bila Kufoka Na Kutukana
 
Jb,bonge la bwana anashambulia kutoka kulia,ukipenda muite erick ford au the big simba.
 
Waonyeshe umahiri wao kwa kuipeleka sanaa ya filamu bongo next level waache kupiga mark time miaka nenda miaka rudi, Wanaume wazima wanaojiita "BONGO MUVIE" wanashikwa nyota na "MDOSI" miaka yote hakuna anayegutuka. Waungane watafute dunia ya filamu ilipo, Waache ujinga. Wameshapata vya kutosha kutoka kwa mdosi . Mdosi ni mdosi kamwe hawezi kubadilika, muangalie KANJI na SHABANI wake EATV.
 
Back
Top Bottom