Baba mtata
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 280
- 40
ray hamuingii jb hata kidogo.ni kweli ray ana makelele utafikiri mnaijeria.
Jb moto wa kuotea mbali hata kanumba alikuwa anasubiri
Pamoja na kutokua mfuasi wa hawa wanaojiita actors wa Bongo movies...JB yupo mbali sana katika uwezo wa kuigiza ukimlinganisha na Ray.
wote bado sana. am addicted with European movies