JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

siyo baada ya kanumba kufa Jb ni mkal na hakuna wa kumfikia hapa bongo hata katka enzi za kanumba sema ndo vile vitu fake ndo vinapewa promo
 
Haa Jb Katisha Katika Kipindi Cha Heka Heka Ya Clouds Kila Aliye Hojiwa Alimtaja Jb Kuwa Ndio Msanii Mkali
 
Pamoja na kutokua mfuasi wa hawa wanaojiita actors wa Bongo movies...JB yupo mbali sana katika uwezo wa kuigiza ukimlinganisha na Ray.
 
Sijabahatika kuangalia movie zao sana(labda nikiwa saluni wakati wa kunyoa) lakini kwa kutumia tu utaalam wangu wa movie production Ray ana ubitozi,ushamba,utoto na uuzaji sura....yaani hajatulia kuuvaa uhusika
 
Hata kabla ya kufariki Kanumba, mimi JB siku zote namwona kuwa ni msanii asiye na mpinzani
 
Ray apunguze chumvi atakua poa,ila jb namkubali sana.
 
Pamoja na kutokua mfuasi wa hawa wanaojiita actors wa Bongo movies...JB yupo mbali sana katika uwezo wa kuigiza ukimlinganisha na Ray.

ray hana mvuto.....
Ongea yake tu unajua kakariri....

Hawezi kuvaa uhusika kiasi kwamba inaboa kumwangalia na kumsikiliza
 
Utamfananishaje messi na okwi, ktk bongo movie hajawahi kutokea wa kulingana na jembe jb . Kinachomsadia ray ni quality ya picha na majumba mazuri, mwisho wa siku jb anaongoza wengine wanafuatia
 
inaelekea mnataka kufanza zereu kwa JB eh?yaani mmekosa wa kumlinganisha nae hatimaye mkamuweka huyu kigozi?
 
mtoa mada amekosea coz huwezi hata kumfananisha JB na Kanumba,JB is the best in Tanzania.namkubali sana jamaa na sio hao wapaka poda wengine(ray na wenzake)
 
Polepole wao wameanza wapo watakao tufikisha huko ukumbuki kama tulianza na kina pwagu na pwaguzi kina mzee jangala kipindi chao kilipopita wakawaachia wengine? Hata wakina ray watapita watakuwa wamesaidia sn kutusogeza lkn si kweli kwamba watatufikisha unapofikiria wapo watoto wanao zaliwa leo ndo watatufikisha huko ila kwa hawa wamejitahidi kutusogeza tuwashukuru kwa hilo na tuwaombe waongeze ubunifu ili watuache pazuri
 
Back
Top Bottom