JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

Ray sio muigizaji wa kumlinganisha na JB, mnamuonea bure! Hajafika na nadhani hatoweza kufikia uigizaji wa JB!
 
Jb ni jembe sijapata kuona yupo vizuri sana huyu jamaaa •
 
ina maana thread yote ni JB tu?
Mtoa thread aombe ifutwe maana tunapotezeana mda hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…