JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

Ray sio muigizaji wa kumlinganisha na JB, mnamuonea bure! Hajafika na nadhani hatoweza kufikia uigizaji wa JB!
 
ina maana thread yote ni JB tu?
Mtoa thread aombe ifutwe maana tunapotezeana mda hapa!
 
Back
Top Bottom