JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

Iamjac16

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
214
Reaction score
53
Kumekuwa na ubishani miongoni wma wadau wa sekta ya bongo movie hasa baada ya kufariki marehemu KANUMBA(R.I.P) kuwa nani hasa anafuta nyayo zake je ni RAY au JB kwa mtazamo wako kati ya RAY na JB nani mkali
 
Hapo sijui ila kama ni wasanii ambao hawana skendo basi JB afadhali
 
JB Anauvaa uhusika vizuri kuliko Ray ambeye anaonekana anaigiza kuliko uhalisia wa uhusika.
 
Jb moto wa kuotea mbali hata kanumba alikuwa anasubiri
 
Jb yuko a thousand miles ahead of Ray,bongo hana mpinzani kwa kweli
 
Ni kweli ananiboa sana anapojaza filamu nzima kwa neno pumbavuuu
 
ray anajikongoja na mtu majisifu kwelikweli jb ni jembe la kwee na nina mkubali ila hawezi kufuata nyanyo za kanumba kwa kuwa kila mtu ana vionjo vyake ambavyo mwenzake hana
 
Jb yuko mile 10000,ray ndo yuko Ubungo terminal!
 
walau movie ya jb naweza nikaangalia sio ray na kanumba. ile movie ya ndoa yangu nilijua itakuwa akili kumbe pumbavuuuuuuuuu!
 
Dah kweli wana JF noma, ikiletwa topic ya bongo movie mnakuwa wakali na kusema kuwa hamuangalii hizo muv, sasa hizo sifa za ray na jb mmezijulia wapi? Jst thinking aloud, tehe
 
Back
Top Bottom