JB na Skendo mpya ya kuiba mawazo ya Movie ya ''Ladies Vs Ricky Bahl"

JB na Skendo mpya ya kuiba mawazo ya Movie ya ''Ladies Vs Ricky Bahl"

chige katika masuala ya IP, itabidi ujue Sheria za ndani ya NCHI husika ndo zinakuwa implemented zaid kubana mambo ya Copyright brother..ni rahis sana Kwa kusue for copyright infringement within A country, kuliko kufanya hivyo intenationally!!!

Ngoja nikwambie kitu, ukifatilia sheria za IP, sheria mujarabu always inakuwa ni Copyright, hii huwa inavunjwa sana, na haishangaz huko US kuna baadhi ya states mwaka 2011 waliipitisha kama Criminal offense!!! wamarekan wamefail kuexcute suala la international Copyright infringement at some point, Manake wanasheria ya International Copyright ambayo inaGovern mambo ya Foreigners conducts katika Mambo ya copyright..lakin kibaya zaid, hii sheria haiko enforced kabisa Outside America au UK, manake kuna Wachambuzi wa masuala ya sheria wanasema Practically International Copyright Act haipo, japokuwa ukicheki Laws za US or UK utaikuta, Kwanini wanasema hivyo??? (nadhan nishaeleza hilo tatizo kwenye Posts zangu za mwanzo)...

Now, kiukweli, ni kwamba Suala la Copyrights lipo zaid katika treaties, signatory countries zinakuwa bound zaid na hiz treaties kuliko laws (international Copyright Act)..Tanzania kuhusu hili suala nadhan tupo katika Berne convention, the same to India, Muulize mtu yoyote anayejua Sheria hi ni Convention "Agreement" yenye Exception kibao sana, na haim-bani sana muhusika wake, (kaisome Vizuri)..

Na kitu kingine chige, Implementation ya Laws ni tofauti na treaties, treaties ni "mutual agreement" haiwez kuwa Enforced bro, imagine kama Hizi treaties ndo zingekuwa laws, kungekuwa na mambo ya kuCopy??? kwann US na international Copyright Act wamefail kucaptalize kuhusu hili suala la copyright internationally???

Case nyingi za US, ni Directors au Authors kuiba ideas ambazo wamekuwa wameletewa na undergrounds, au kuiba ideas za Movie houses zingine, lakin ZILE za kuCopy MOVIE iliyotoka tayari ni CHACHE SANA!!
Mimi na wewe kwa kiasi kikubwa tunapishana sehemu moja! Wakati wewe unaona penye loophole ya kisheria si dhambi kuvunja sheria, kwa upande wangu naamini loophole ya kisheria isiwe chanzo cha kuvunja sheria! Awali hoja yako ilikuwa kwamba suala ku-copy sio tatizo ndipo nilipoamua kukupa mifano ya kesi mbalimbali huko Hollywood zinazohusiana na masuala ya ku-copy kazi za watu wengine! Kuna mahali warumi alikupa changamoto kwamba utafute wanafunzi wa sheria wakupe darsa kuhusu masuala ya IP lakini ukasema wewe kwenye suala la sheria, warumi labda atafute kingine! Kwa hoja yako hiyo, inawezekana wewe ni mwanasheria kweli na sifa kubwa ya wanasheria ni kubadilikabadili... hivi sasa watasema hivi, ukim-tight, anatafuta pa kutokea na kuleta jambo lingine kama ambavyo ulivyobadilika hivi sasa na kuacha kuzungumzia ni jinsi gani isivyo serious issue ku-copy kazi ya mtu lakini kv nimekupa mifano hai, umeamua kuleta how hard it is ku-implement such issues internationally!!! Anyway, I can understand that lakini hoja ya msingi hapa ni kwamba, hata kama ni vigumu ku-implement international copyright laws between two countries, bado hiyo haiwezi kuwa excuse ya ku-copy kazi za mataifa mengine bila rushusa!

Hilo mosi, lakini pili nimeonelea nikuwekee mifano ya lawsuits between Hollywood na Bollywood... from two different countries!
Executives at 20th Century Fox have accepted a $200,000 (£125,000) settlement from Bollywood film producers who they accused of copying their movie My Cousin Vinny.
Fox bosses filed the lawsuit at India's Bombay High Court in May (09), claiming officials at BR Films produced an illegal remake of the Oscar-winning 1992 film.
More: My Cousin Vinny Copy Case Is Settled | Contactmusic.com
Hii nyingine:
Harry Potter studio sues over Bollywood comedy 'Hari Puttar'
A Bollywood children's film has become embroiled in a legal battle with Warner Bros over claims it is based on Harry Potter.

"Hari Puttar: A Comedy of Terrors" which tells the story of a hapless youngster dragged into a plot to save the world, is one of India's most anticipated films of the year.
Warner Bros say the film bears too close a resemblance to JK Rowling's wizard hero but its producers have dismissed claims of plagiarism.
More: Harry Potter studio sues over Bollywood film Hari Puttar - Telegraph
Hata Dr. Dre nae yaliwahi kumkuta:
Dr. Dre, Interscope Stung With $500 Million Lawsuit Over ‘Addictive'
Suit alleges Truth Hurts' single uses unauthorized sample of 'Thoda Resham Lagta Hai.'

An Indian film and music company is suing Interscope Records and its parent company, Universal Music Group, to the tune of more than $500 million over the use of an unlicensed sample on "Addictive," the first single from Truth Hurts' debut LP, Truthfully Speaking.

Dr. Dre, Interscope Stung With $500 Million Lawsuit Over ‘Addictive' - MTV

Lakini habari muhimu zaidi ni hii hapa chini. Kwenye habari hii nimechangua baadhi ya vifungu ambavyo vingine vinajibu ni kwanini kuna movie Bollywood zinazofanana na zile za Hollywood! Habari ni hii hapa:
Hollywood Finally Challenging India's Booming Bollywood Over Knockoffs

MUMBAI -- For years, Indian producers have paid Hollywood the ultimate compliment: knocking off American films scene-for-scene and turning them into Bollywood blockbusters.

Now, Hollywood is paying Bollywood a compliment of its own. Instead of ignoring the plagiarism, American moviemakers have begun suing their counterparts in India, a sure sign that this country's booming, $2.2 billion-a-year film industry has arrived as a global player.

Last week, 20th Century Fox accepted a $200,000 settlement from the Bollywood film producer it accused of copying its 1992 Oscar-winning comedy "My Cousin Vinny," better known here by its Bollywood version, "Banda Yeh Bindaas Hai," or "This Guy Is Fearless."

Warner Bros., Sony Pictures and 20th Century Fox have teamed up with Indian film studios to make several Bollywood movies. Disney invested nearly $200 million this year in one of Bollywood's biggest producers, UTV.

At the same time, billionaire Indian industrialist Anil Ambani, whose wife was a Bollywood starlet, recently led a total investment of $825 million, of which his company is paying $325 million to Steven Spielberg's DreamWorks SKG Studios.

The out-of-court settlement has alarmed directors of other alleged Bollywood copies of American movies, such as "Teree Sang," (Hollywood's "Juno"), "Salaam Namaste" ("Nine Months") and "Koi Mil Gaya," which borrowed generously from Hollywood hits such as "E.T.: The Extra-Terrestrial," "Singing in the Rain" and "Rain Man."

Subhash Ghai, a popular director and the founder of Whistling Woods International acting school in Mumbai, said Bollywood filmmakers will still copy American plots. But now they will have to buy the rights.

More: Hollywood Finally Challenging India's Booming Bollywood Over Knockoffs

Hapa nimalizie kusema kwamba, kitu pekee kinachoweza kuwasaidia watu kama akina JB ni kv tu wapo too local na industry yetu haina chochote cha maana cha kumfanya mtu am-sue JB lakini sio kwamba hakuna msingi wa kum-sue! Ndio maana katika post moja nilisema hapa ngoja hiyo filamu ya JB ifanye wonders, itengeneze millions of dollars halafu uone kama atasalimika! Au, hata isipofanya wonders hiyo movie ya JB, let's assume atokee Producer wa Hollywood na aipende hiyo movie ya JB lakini akaamua kufuata sheria na akainunua hiyo movie kutoka kwa JB kisha akafanya remake na kuchukua contents nyingi kisha hiyo movie ifanye vizuri... baada ya hapo utakuja ona kama mmiliki wa Ladies Vs Rick Bahl atakaa kimya!
 
Last edited by a moderator:
So Kama JB siyo wa kwanza, kama mdau wa Bongo movie ulikuwa wapi kuanisha suala la Kucopy movies za nje kuwa ni TATIZO hapa Bongo???

Kwasababu kama unapenda Movies za Bongo, lazima hili tatizo ulikuwa unalijua kabla la hili la JB..

Na kusema kwamba umeamua kulivalia njuga suala la JB kucopy coz we ni mshabiki wake na hukutegemea kuwa atafanya hivyo huo ni "ufikiri mdogo"

Manake Actors wengine wakiCopy itakuwa ni sawa kwako coz we siyo mshabiki wao, wakat suala la kucopy ni tatizo la Tasnia nzima na JB yupo katika Tasnia hii!!!

BTW. Hata Mahakaman huwa wanatumia Case laws (previous Cases) kuoanisha nadharia ya case husika kablia hawajajiridhisha kutoa Judgement!!!
Mapungufu ya Bongo Movie tumekuwa tukiyajadili hapa jamvini mara kwa mara... si tu suala la kukopi bali na masuala mengine kv subtitles za hovyo, story/scripts za hovyo, maudhui ya hovyo and so on! Labda wewe hujawahi kukutana na hiyo mijadala lakini huwa inajadiliwa!
 
I'm sorry my fellow participant, I'm not that good in Swahili....then naomba turudi kwenye Topic tafadhali
Tunaendelea na sidhani kama watakuwa na hoja za kweli za ku-defend!
 
Mimi na wewe kwa kiasi kikubwa tunapishana sehemu moja! Wakati wewe unaona penye loophole ya kisheria si dhambi kuvunja sheria, kwa upande wangu naamini loophole ya kisheria isiwe chanzo cha kuvunja sheria! Awali hoja yako ilikuwa kwamba suala ku-copy sio tatizo ndipo nilipoamua kukupa mifano ya kesi mbalimbali huko Hollywood zinazohusiana na masuala ya ku-copy kazi za watu wengine! Kuna mahali warumi alikupa changamoto kwamba utafute wanafunzi wa sheria wakupe darsa kuhusu masuala ya IP lakini ukasema wewe kwenye suala la sheria, warumi labda atafute kingine! Kwa hoja yako hiyo, inawezekana wewe ni mwanasheria kweli na sifa kubwa ya wanasheria ni kubadilikabadili... hivi sasa watasema hivi, ukim-tight, anatafuta pa kutokea na kuleta jambo lingine kama ambavyo ulivyobadilika hivi sasa na kuacha kuzungumzia ni jinsi gani isivyo serious issue ku-copy kazi ya mtu lakini kv nimekupa mifano hai, umeamua kuleta how hard it is ku-implement such issues internationally!!! Anyway, I can understand that lakini hoja ya msingi hapa ni kwamba, hata kama ni vigumu ku-implement international copyright laws between two countries, bado hiyo haiwezi kuwa excuse ya ku-copy kazi za mataifa mengine bila rushusa!

Hilo mosi, lakini pili nimeonelea nikuwekee mifano ya lawsuits between Hollywood na Bollywood... from two different countries!

Hii nyingine:Hata Dr. Dre nae yaliwahi kumkuta:
Lakini habari muhimu zaidi ni hii hapa chini. Kwenye habari hii nimechangua baadhi ya vifungu ambavyo vingine vinajibu ni kwanini kuna movie Bollywood zinazofanana na zile za Hollywood! Habari ni hii hapa:

Hapa nimalizie kusema kwamba, kitu pekee kinachoweza kuwasaidia watu kama akina JB ni kv tu wapo too local na industry yetu haina chochote cha maana cha kumfanya mtu am-sue JB lakini sio kwamba hakuna msingi wa kum-sue! Ndio maana katika post moja nilisema hapa ngoja hiyo filamu ya JB ifanye wonders, itengeneze millions of dollars halafu uone kama atasalimika! Au, hata isipofanya wonders hiyo movie ya JB, let's assume atokee Producer wa Hollywood na aipende hiyo movie ya JB lakini akaamua kufuata sheria na akainunua hiyo movie kutoka kwa JB kisha akafanya remake na kuchukua contents nyingi kisha hiyo movie ifanye vizuri... baada ya hapo utakuja ona kama mmiliki wa Ladies Vs Rick Bahl atakaa kimya!

Asa Chige, Unafatilia movies na bado hujaelewa maana ya "RE-MAKE" copyright laws zinaCover maeneo gani and Treaties zinaCover maeneo gani brother???

Copying na RE-MAKE ni vitu viwili Tofauti.. (sidhani kama huelewi hilo)

Kwa ufahamu wako Mkubwa sana ulionao sidhan kama huzijui proceducers zinahusu "Re-Making of A movie"...

Tuachane na hayo, coz unasema nabadilika badilika, but lengo langu lilikuwa ni kuifafanua IP law (hasa katika Copyrights)..

Suala la Kucopy or kuchukua ideas/contents ni kitu ambacho kipo worldwide, Kwenye Tasnia ndogo kama Ya Tanzania hicho kitu hakiepukiki, Na hakitakuja kuisha, as long as Dunia inazidi kukishuhudia, Tanzania haina Muendelezo wa Ideas (movies)..kuna Factors ambazo zinafanya movies hizi zisiwe na muendelezo wa ideas, kubwa sana ni BUDGET na mazingira ya Kazi ya Bongo...

New ideas zinahitaji Budget, mfano, Mtu anaweza akawa na Ideas za kuhusu Super heroes movies, Historical Movies, Action drama movies etc, but zitawork OUT vipi kwa budget iliyopo???..mfano tu, James Cameroun came with IDEA ya AVATAR, na uliona Budget yake ilivyokuwa, Ellysium ya Matt Damon naweza sema ilikuwa ni new Idea, but Bugdet ilikuwa kubwa na haikufikia malengo kwenye boxoffice although iliSurpus budget yake,

So Bongo utakuwa na idea ipi ambayo italeta Revolution??? zaid ya family drama movies???..unafikiri kuna watu hawana new ideas???

U could say mbona Uganda had Iddi Amini Movies, Mbona Rwada had Hotel rwanda, Sometimes in April etc, mbona Burkina Faso wana Films nzuri?? etc, Well, Unajua zinakuwa produced and Created na watu wa wapi..ofcourse mu-Africa hawez kudeal na gharama ya kutengeza hizo Movie...(unalijua hilo)

So hata JB na wenzake wakitaka kuigiza about JK (road to independence), Mkwawa history, TV dramas za kufichua mafisadi kulingana na hizi scandal za sahiv, etc, WATAWEZA WENYEWE?? kwa BUDGET IPI????

Acheni wafanye kazi kulingana na LIMITED BUDGET waliyonayo Aisee, na as long as kiwanda chao kinafanya kazi kwa budget ndogo, Affordable movies zitakuwa ni Family Drama tu...

MWISHO!

Copying ni worldwide Issue!!
 
Last edited by a moderator:
kuna Movie moja nilikuwa naangalia Madaktari wa kimarekani (wakiongozwa na mzee Chilo) wamekuja Bongo kufanya utafiti kuhusu dawa ya ukimwi kwenye certain village, kwa madaktari wenye Asili ya US, wakat wapo Porini walikuwa wanaongea KISWAHILI VIZURI tu, na PILI muunganiko wa Story ulikuwa HAUNA MAANA, MWISHO WAKATUMWA MACOMANDO WAKAWAOKOE (kala pina na wenzake) WAKAWA WANABILINGIKA KICOMANDO BILA MPANGILIO (in short sijawahi kuona Mwanajeshi wa Vile)..

IDEA ya ile movie ni nzuri sana, kama ingepata muendelezo sahihi, Tatizo hapa linakuwa ni lile lile "LIMITED BUDGET"...
 
So Kama JB siyo wa kwanza, kama mdau wa Bongo movie ulikuwa wapi kuanisha suala la Kucopy movies za nje kuwa ni TATIZO hapa Bongo???

Kwasababu kama unapenda Movies za Bongo, lazima hili tatizo ulikuwa unalijua kabla la hili la JB..

Na kusema kwamba umeamua kulivalia njuga suala la JB kucopy coz we ni mshabiki wake na hukutegemea kuwa atafanya hivyo huo ni "ufikiri mdogo"

Manake Actors wengine wakiCopy itakuwa ni sawa kwako coz we siyo mshabiki wao, wakat suala la kucopy ni tatizo la Tasnia nzima na JB yupo katika Tasnia hii!!!

BTW. Hata Mahakaman huwa wanatumia Case laws (previous Cases) kuoanisha nadharia ya case husika kablia hawajajiridhisha kutoa Judgement!!!

Yani bado unatoa utetezi uleule kila muda! kwa hiyo kwakuwa sikuwachambua wengine walio kopi basi ni haki yake kufanya hivyo na si kosa!

Unafikiri hata kama kuna case za mfano zinatumika kuna kesi inaweza kuwa iliamuliwa kwa utetezi huo?
 
Asa Chige, Unafatilia movies na bado hujaelewa maana ya "RE-MAKE" copyright laws zinaCover maeneo gani and Treaties zinaCover maeneo gani brother???

Copying na RE-MAKE ni vitu viwili Tofauti.. (sidhani kama huelewi hilo)

Kwa ufahamu wako Mkubwa sana ulionao sidhan kama huzijui proceducers zinahusu "Re-Making of A movie"...

Tuachane na hayo, coz unasema nabadilika badilika, but lengo langu lilikuwa ni kuifafanua IP law (hasa katika Copyrights)..!
Hebu twende taratibu... hatua kwa hatua! Ni wapi niliposema copying na remake ni kitu kile kile?! Hiki ndicho nilichosema:
, let's assume atokee Producer wa Hollywood na aipende hiyo movie ya JB lakini akaamua kufuata sheria na akainunua hiyo movie kutoka kwa JB kisha akafanya remake na kuchukua contents nyingi kisha hiyo movie ifanye vizuri...
According to the Free Dictionary, hivi ndivyo wanatafsiri remake:

1. to make again or anew.
2. to film a new version of (an earlier motion picture, screenplay, or the like).
n.3. a more recent version of an existing film, screenplay, or story.
4. anything that has been remade, renovated, or rebuilt.

Kisha soma habari hii:
Warner Bros. to Remake French Action Movie SLEEPLESS NIGHT
What are film festivals for if not to introduce studio executives to foreign films they can remake? The 2011 Toronto Film Festival put forth a nice set of remakeable properties. Screen Gems has their eye on the Indonesian action movie The Raid; Warner Bros. found their own action movie from France. According to Heat Vision, Warner Bros. has picked up he rights to make an English-language adaptation of Sleepless Night.
Baada ya hapo, linganisha content in blue kutoka hiyo habari hapo juu na kitu nilichosema mimi kuhusu JB halafu niambie tofauti ipo wapi na wapi kwenye habari yangu panapoashiria kwamba remake and copying is the one and the same!!

Kisha unadai kwamba, nanukuu,
Suala la Kucopy or kuchukua ideas/contents ni kitu ambacho kipo worldwide, Kwenye Tasnia ndogo kama Ya Tanzania hicho kitu hakiepukiki, Na hakitakuja kuisha, as long as Dunia inazidi kukishuhudia
Labda nikuulize! Ni nani amesema hicho kitu hakipo duniani? Hivi hapa tunasema JB ni mtu wa kwanza duniani kufanya copying ya kazi za watu wengine au tunasema amekopi kazi za watu wengine kinyume na taratibu?? Maraya kwanza ulidai hicho kitu kipo kila mahali na hata Bollywood wana-copy sana tu filamu za Hollywood! Kutokana na hilo, nikakuwekea baadhi ya kesi chache ambazo watengenezaji filamu wa Bollywood waliwahi kuburuzwa mahakamani na watengenezaji filamu wa Hollywood! Hiyo peke yake, bila kujali ni idadi ngapi ya kesi, ilitosha kabisa kuonesha kwamba hata wanachofanya Bollywood sio sahihi na ndio maana inapotokea mtu kwenda mahakamani, hakuna mahakama inayotupa kesi kama hiyo from the beginning kama ishara ya kuonesha none-material lawsuit! Pili narudia kitu ambacho nimeshakuambia mara kadhaa! Hata kama hizo kampuni za Bollywood ingekuwa hazipelekwi mahakamani, bado hiyo haimaanishi kwamba plagiarism inakubalika!

Katika hoja zako unaendelea pia kudai, nanukuu:
New ideas zinahitaji Budget, mfano, Mtu anaweza akawa na Ideas za kuhusu Super heroes movies, Historical Movies, Action drama movies etc, but zitawork OUT vipi kwa budget iliyopo???..mfano tu, James Cameroun came with IDEA ya AVATAR, na uliona Budget yake ilivyokuwa, ...
Frankly speaking, wala sielewi kwamba unataka kusema nini hasa!! Ni kwamba Waandishi na Producers wa Tanzania wao wapo fit kwenye ma-idea mazito tu, au unamaanisha nini hasa? Kama wao wanachojua ni ma-idea mazito peke yake, tatizo lipo wapi? Hollywood ni free market, wanaweza kuuza script zao kule ikiwa wanachoweza wao ni kuandika ma-idea kuhusu ma Sci-Fi na kuzungumzia stories za aliens! Ikiwa hawajui waanzie wapi, mie sina roho mbaya, nitawaelekeza manake nilikuwa sifahamu kwamba waandishi wetu hawawezi kuwa na kitu kipya kwenye stori zinazofanana na industry yetu lakini wana madini ya kutosha ambayo, filamu zake ni zile zinazoitwa high budget movies!!!

Hatimae, unahoji:
So Bongo utakuwa na idea ipi ambayo italeta Revolution??? zaid ya family drama movies???..unafikiri kuna watu hawana new ideas???
Ndo maana nikasema, nilikuwa sifahamu kwamba, Waandishi wetu wamebobea kwenye kuandika stories za high budget movies peke yake lakini linapokuja suala la family drama, huko hawajabobea kabisa na njia pekee ni kwiba za Wahindi!!!!!
MosDef, niseme wazi leo unafurahisha sana! Unaonekana wazi kwamba haya mambo unayafahamu lakini kwa makusudi, unaamua kuipeleka akili yako likizo kila unapoingia JF kujadili suala hili! Tena:
U could say mbona Uganda had Iddi Amini Movies, Mbona Rwada had Hotel rwanda, Sometimes in April etc, mbona Burkina Faso wana Films nzuri?? etc, Well, Unajua zinakuwa produced and Created na watu wa wapi..ofcourse mu-Africa hawez kudeal na gharama ya kutengeza hizo Movie...(unalijua hilo)
Hebu twende taratibu kidogo! Hivi huu mjadala unahusu Tanzania na movie mbovu au JB kutumia kazi ambayo si yake? Hivi unahitaji kuwa na bilioni ngapi benki ili uweze kuibuka na best movie idea? Mimi ni mwandishi, na kwa ninavyofahamu, sihitaji hata senti tano benki kuibuka na new idea... au ndo yale yale kwamba waandishi wetu wapo vizuri na ideas ambazo zinaweza kutengeneza high budget movies peke yake lakini family dram hawaziwezi? Kama ndivyo, basi jaribu kuanzisha uzi "How to Sell Script in Hollywood" na watu tutatoa maoni yetu ili hawa waandishi wetu wasio na uwezo wa kuandika family drama lakini uwezo wao ni kuandika Sci-Fi, Superheroes thing na mambo mengine kama hayo wafahamu waanzie wapi lakini kwangu mimi hiki ni kichekesho!!
Kwamba,
So hata JB na wenzake wakitaka kuigiza about JK (road to independence), Mkwawa history, TV dramas za kufichua mafisadi kulingana na hizi scandal za sahiv, etc, WATAWEZA WENYEWE?? kwa BUDGET IPI????
Ngoja nikuulize jambo dogo kabisa? Je, tunahitaji kuonesha ndege zinagongana kuelezea uhalisia wa movie ya kifisadi hapa Bongo? Tangu masuala ya ufisadi nchini yaanze, umeshawahi kuona urushwaji wa maroketi unaokutisha wewe kwamba bajeti ya filamu kama hizo itakuwa ni very expensive kutengeneza uhalisia? Duh! Nimeenda mbali kishenzi... je, umeshawahi kuona au angalau kusikia kwamba gari za polisi zilikuwa zinafukuzana na gari za Fisadi Papa fulani kisha wakaanza kurushiana risasi hadi magari mawili yakapinduka na kuanza kuwaka moto hadi uhofie ukiandika stori za ufisadi, kwa bajeti yetu hatuweza kutengeneza uhalisia?? BTW, kwani ni nani amepinga kutengenezwa family drama unazoona ndio cheap?! Hapa tena unadai,
Acheni wafanye kazi kulingana na LIMITED BUDGET waliyonayo Aisee, na as long as kiwanda chao kinafanya kazi kwa budget ndogo, Affordable movies zitakuwa ni Family Drama tu...
Hee! Kwahiyo kazi zinazohitaji limited budget ni zile tu tunazoweza ku-copy kwa wengine lakini wenyewe kuandika miswada ya limited budget hatuwezi?! Au ndo yale yale ya utalaamu wetu upo kwenye ma Sci-Fi!!!!

Mwisho unamalizia:
Copying ni worldwide Issue!!
Niseme machache tu kwamba, NI KWELI BUT UNACCEPTABLE!
 
Last edited by a moderator:
Hebu twende taratibu... hatua kwa hatua! Ni wapi niliposema copying na remake ni kitu kile kile?! Hiki ndicho nilichosema: According to the Free Dictionary, hivi ndivyo wanatafsiri remake:

1. to make again or anew.
2. to film a new version of (an earlier motion picture, screenplay, or the like).
n.3. a more recent version of an existing film, screenplay, or story.
4. anything that has been remade, renovated, or rebuilt.

Kisha soma habari hii:Baada ya hapo, linganisha content in blue kutoka hiyo habari hapo juu na kitu nilichosema mimi kuhusu JB halafu niambie tofauti ipo wapi na wapi kwenye habari yangu panapoashiria kwamba remake and copying is the one and the same!!

Kisha unadai kwamba, nanukuu, Labda nikuulize! Ni nani amesema hicho kitu hakipo duniani? Hivi hapa tunasema JB ni mtu wa kwanza duniani kufanya copying ya kazi za watu wengine au tunasema amekopi kazi za watu wengine kinyume na taratibu?? Maraya kwanza ulidai hicho kitu kipo kila mahali na hata Bollywood wana-copy sana tu filamu za Hollywood! Kutokana na hilo, nikakuwekea baadhi ya kesi chache ambazo watengenezaji filamu wa Bollywood waliwahi kuburuzwa mahakamani na watengenezaji filamu wa Hollywood! Hiyo peke yake, bila kujali ni idadi ngapi ya kesi, ilitosha kabisa kuonesha kwamba hata wanachofanya Bollywood sio sahihi na ndio maana inapotokea mtu kwenda mahakamani, hakuna mahakama inayotupa kesi kama hiyo from the beginning kama ishara ya kuonesha none-material lawsuit! Pili narudia kitu ambacho nimeshakuambia mara kadhaa! Hata kama hizo kampuni za Bollywood ingekuwa hazipelekwi mahakamani, bado hiyo haimaanishi kwamba plagiarism inakubalika!

Katika hoja zako unaendelea pia kudai, nanukuu:Frankly speaking, wala sielewi kwamba unataka kusema nini hasa!! Ni kwamba Waandishi na Producers wa Tanzania wao wapo fit kwenye ma-idea mazito tu, au unamaanisha nini hasa? Kama wao wanachojua ni ma-idea mazito peke yake, tatizo lipo wapi? Hollywood ni free market, wanaweza kuuza script zao kule ikiwa wanachoweza wao ni kuandika ma-idea kuhusu ma Sci-Fi na kuzungumzia stories za aliens! Ikiwa hawajui waanzie wapi, mie sina roho mbaya, nitawaelekeza manake nilikuwa sifahamu kwamba waandishi wetu hawawezi kuwa na kitu kipya kwenye stori zinazofanana na industry yetu lakini wana madini ya kutosha ambayo, filamu zake ni zile zinazoitwa high budget movies!!!

Hatimae, unahoji:Ndo maana nikasema, nilikuwa sifahamu kwamba, Waandishi wetu wamebobea kwenye kuandika stories za high budget movies peke yake lakini linapokuja suala la family drama, huko hawajabobea kabisa na njia pekee ni kwiba za Wahindi!!!!!
MosDef, niseme wazi leo unafurahisha sana! Unaonekana wazi kwamba haya mambo unayafahamu lakini kwa makusudi, unaamua kuipeleka akili yako likizo kila unapoingia JF kujadili suala hili! Tena:Hebu twende taratibu kidogo! Hivi huu mjadala unahusu Tanzania na movie mbovu au JB kutumia kazi ambayo si yake? Hivi unahitaji kuwa na bilioni ngapi benki ili uweze kuibuka na best movie idea? Mimi ni mwandishi, na kwa ninavyofahamu, sihitaji hata senti tano benki kuibuka na new idea... au ndo yale yale kwamba waandishi wetu wapo vizuri na ideas ambazo zinaweza kutengeneza high budget movies peke yake lakini family dram hawaziwezi? Kama ndivyo, basi jaribu kuanzisha uzi "How to Sell Script in Hollywood" na watu tutatoa maoni yetu ili hawa waandishi wetu wasio na uwezo wa kuandika family drama lakini uwezo wao ni kuandika Sci-Fi, Superheroes thing na mambo mengine kama hayo wafahamu waanzie wapi lakini kwangu mimi hiki ni kichekesho!!
Kwamba,Ngoja nikuulize jambo dogo kabisa? Je, tunahitaji kuonesha ndege zinagongana kuelezea uhalisia wa movie ya kifisadi hapa Bongo? Tangu masuala ya ufisadi nchini yaanze, umeshawahi kuona urushwaji wa maroketi unaokutisha wewe kwamba bajeti ya filamu kama hizo itakuwa ni very expensive kutengeneza uhalisia? Duh! Nimeenda mbali kishenzi... je, umeshawahi kuona au angalau kusikia kwamba gari za polisi zilikuwa zinafukuzana na gari za Fisadi Papa fulani kisha wakaanza kurushiana risasi hadi magari mawili yakapinduka na kuanza kuwaka moto hadi uhofie ukiandika stori za ufisadi, kwa bajeti yetu hatuweza kutengeneza uhalisia?? BTW, kwani ni nani amepinga kutengenezwa family drama unazoona ndio cheap?! Hapa tena unadai,Hee! Kwahiyo kazi zinazohitaji limited budget ni zile tu tunazoweza ku-copy kwa wengine lakini wenyewe kuandika miswada ya limited budget hatuwezi?! Au ndo yale yale ya utalaamu wetu upo kwenye ma Sci-Fi!!!!

Mwisho unamalizia:Niseme machache tu kwamba, NI KWELI BUT UNACCEPTABLE!

So kama kweli Copying ni tatizo worldwide na umekubali...basi tumalize tu Mjadala..me nilikuwa nataka kulifikisha hilo tu BASI!!!

Afu, sjui kama upo interested na mambo ya Movies, ila kwa uelewa wako, unaweza kuja kumake kitu tofauti sana katka tasnia ya movie bongo au popote.. (tumia ideas na talent uliyonayo kuleta revolution Bongo)..
 
Last edited by a moderator:
kuna Movie moja nilikuwa naangalia Madaktari wa kimarekani (wakiongozwa na mzee Chilo) wamekuja Bongo kufanya utafiti kuhusu dawa ya ukimwi kwenye certain village, kwa madaktari wenye Asili ya US, wakat wapo Porini walikuwa wanaongea KISWAHILI VIZURI tu, na PILI muunganiko wa Story ulikuwa HAUNA MAANA, MWISHO WAKATUMWA MACOMANDO WAKAWAOKOE (kala pina na wenzake) WAKAWA WANABILINGIKA KICOMANDO BILA MPANGILIO (in short sijawahi kuona Mwanajeshi wa Vile)..

IDEA ya ile movie ni nzuri sana, kama ingepata muendelezo sahihi, Tatizo hapa linakuwa ni lile lile "LIMITED BUDGET"...
Sasa kubiringika kwa akina Kala Pina kuna uhusiano gani na bajeti? Hao madaktari huko kijijini walivamiwa na nani hadi wahitajike ma-komandoo wenye uwezo wa kubiringika wakati wa kuwaokoa? Hivi tatizo ni bajeti au tatizo ni kutunga stori zisizoendana na mazingira? Hivi tatizo ni bajeti au nile kutaka kuleta u-Hollywood kwenye filamu zetu? Nimeshaona filamu nyingi dizani hiyo, unakuta ordinary person anakuwa confronted na enemies kisha inapotokea fighting scene katika mazingira kama hayo, unakuta watu wanalazimisha kupigana karate na kung-fu!!!! Is it necessary? Kwanza hata huko Hollywood huwezi kukuta upuuzi kama huo... kama kuna physical confrontation between ordinary persons (not trained one) unakuta kabisa chochote mtu kilicho karibu yake ndo silaha yake... unaona kabisa mtu anaokota ubao na kumtandika nao mwenzake! Unakuta kabisa mtu anamvamia mwenzake na kuanza kubiringishana nae... akipata nafasi, hata meno atamng'ata... na haya ndio yanayotokea kwenye real world! Lakini Bongo Movie, sehemu kama hiyo unakuta watu wanaanza kucheza karate na kung-fu! Kinachofuata hapo no fighting choreography wala nini zaidi ya boring fighting scenes! Halafu katika mazingira kama hayo ndo useme tatizo ni bajeti? Hivi hata hawa polisi wetu huku mitaani umeshawahi kukuta wakipigana kung-fu na majambazi? Lakini polisi wa Bongo Movie lazima apigane karate na kung-fu akikutana na majambazi!!!! Kwenyemovie zetu hata mtu akimfumania demu wake, basi hapo lazima ziibuke karate na kung-fu, haa! Haya ndiyo yanayotokea huku mitaani tunapowafuma wanaotuchapia mademu zetu?? Sasa hizi karate na kung-fu pamoja na u-komando wa kina Kalama wa kutaka kubiringika kama akina Jack Chan unatoka wapi?
 
So kama kweli Copying ni tatizo worldwide na umekubali...basi tumalize tu Mjadala..me nilikuwa nataka kulifikisha hilo tu BASI!!!

Afu, sjui kama upo interested na mambo ya Movies, ila kwa uelewa wako, unaweza kuja kumake kitu tofauti sana katka tasnia ya movie bongo au popote.. (tumia ideas na talent uliyonayo kuleta revolution Bongo)..
MosDef, nimeshasema hapa kwamba, issue kwamba huku na kule kunafanyika copying bado sijui kigezo cha sisi kufanya copying!!! Issue ni kwamba, ikiwa mtu ameipenda filamu fulani basi afanye mazungumzo na wahusika na tusitafute njia za mkato kwa kigezo kwamba kila mahali wana-copy kwa sababu, tukiendekeza tabia hii hatutaweza ku-advance to international level na mbaya zaidi, hatutaweza kuwa na waandishi wetu wenyewe!

Lakini kubwa kuliko vyote... ma-producer wetu(uhalisia ni waandishi wetu lakini ndo hivyo tena) wawe wanaangalia sana series zinazoendana na mazingira yetu.. family drama in particular! Ukiziangalia series kama hizi, ndani yake ndimo unaweza kupata good movie ideas... kipande cha sekunde 30 kinatosha kabisa kuwa idea ambayo unaweza kuiandikia upya na wala isifanane na series husika hata kidogo!
 
Mimi na wewe kwa kiasi kikubwa tunapishana sehemu moja! Wakati wewe unaona penye loophole ya kisheria si dhambi kuvunja sheria, kwa upande wangu naamini loophole ya kisheria isiwe chanzo cha kuvunja sheria! Awali hoja yako ilikuwa kwamba suala ku-copy sio tatizo ndipo nilipoamua kukupa mifano ya kesi mbalimbali huko Hollywood zinazohusiana na masuala ya ku-copy kazi za watu wengine! Kuna mahali warumi alikupa changamoto kwamba utafute wanafunzi wa sheria wakupe darsa kuhusu masuala ya IP lakini ukasema wewe kwenye suala la sheria, warumi labda atafute kingine! Kwa hoja yako hiyo, inawezekana wewe ni mwanasheria kweli na sifa kubwa ya wanasheria ni kubadilikabadili... hivi sasa watasema hivi, ukim-tight, anatafuta pa kutokea na kuleta jambo lingine kama ambavyo ulivyobadilika hivi sasa na kuacha kuzungumzia ni jinsi gani isivyo serious issue ku-copy kazi ya mtu lakini kv nimekupa mifano hai, umeamua kuleta how hard it is ku-implement such issues internationally!!! Anyway, I can understand that lakini hoja ya msingi hapa ni kwamba, hata kama ni vigumu ku-implement international copyright laws between two countries, bado hiyo haiwezi kuwa excuse ya ku-copy kazi za mataifa mengine bila rushusa!

Hilo mosi, lakini pili nimeonelea nikuwekee mifano ya lawsuits between Hollywood na Bollywood... from two different countries!

Hii nyingine:Hata Dr. Dre nae yaliwahi kumkuta:
Lakini habari muhimu zaidi ni hii hapa chini. Kwenye habari hii nimechangua baadhi ya vifungu ambavyo vingine vinajibu ni kwanini kuna movie Bollywood zinazofanana na zile za Hollywood! Habari ni hii hapa:

Hapa nimalizie kusema kwamba, kitu pekee kinachoweza kuwasaidia watu kama akina JB ni kv tu wapo too local na industry yetu haina chochote cha maana cha kumfanya mtu am-sue JB lakini sio kwamba hakuna msingi wa kum-sue! Ndio maana katika post moja nilisema hapa ngoja hiyo filamu ya JB ifanye wonders, itengeneze millions of dollars halafu uone kama atasalimika! Au, hata isipofanya wonders hiyo movie ya JB, let's assume atokee Producer wa Hollywood na aipende hiyo movie ya JB lakini akaamua kufuata sheria na akainunua hiyo movie kutoka kwa JB kisha akafanya remake na kuchukua contents nyingi kisha hiyo movie ifanye vizuri... baada ya hapo utakuja ona kama mmiliki wa Ladies Vs Rick Bahl atakaa kimya!

Well said chige , nashukuru
 
Last edited by a moderator:
Kama kuiba kazi za nje unapata kujadiliwa hivi mimi nawaunga mkono waibe tu....mwisho mbongo muvi hana cha kupoteza.....kulinganisha Bongo muvi na Bollywood ni wapi na wapi jamani, mbona mnapoteza nguvu bure....industry inayohesabiwa namab mbili kutoka Holliwood dhidi ya industry namba ngapi duniani ?

Ni sawa uende Ujerumani kwa CEO wa BMW kushitaki kuwa kuna kiwanda Bongo wameiba design ya products za BMW....nadhani move yao ya kwanza watakupeleka kwa daktari wa akili....achilia mbali kuipuuza hiyo taarifa yako.

Sanasana mnachofanya hapa ni kumpa JB na Mdosi wake promo mauzo yaende vizuri.
 
copy yangu ya kwanza nikiingia katika tasnia ya Bongo movie itakuwa ni CHOPRI CHOPRI CHUPKE CHUPKE YA SALMAN KHAN YA 2001. naipenda sana.
 
MosDef, nimeshasema hapa kwamba, issue kwamba huku na kule kunafanyika copying bado sijui kigezo cha sisi kufanya copying!!! Issue ni kwamba, ikiwa mtu ameipenda filamu fulani basi afanye mazungumzo na wahusika na tusitafute njia za mkato kwa kigezo kwamba kila mahali wana-copy kwa sababu, tukiendekeza tabia hii hatutaweza ku-advance to international level na mbaya zaidi, hatutaweza kuwa na waandishi wetu wenyewe!

Lakini kubwa kuliko vyote... ma-producer wetu(uhalisia ni waandishi wetu lakini ndo hivyo tena) wawe wanaangalia sana series zinazoendana na mazingira yetu.. family drama in particular! Ukiziangalia series kama hizi, ndani yake ndimo unaweza kupata good movie ideas... kipande cha sekunde 30 kinatosha kabisa kuwa idea ambayo unaweza kuiandikia upya na wala isifanane na series husika hata kidogo!

Umeongea point sana, waangilie sana pia movie za ki nigeria maana wana story nzuri ambazo ni applicable kwenye maisha yetu ya kitanzania
 
"Red Valentine" wali copy na ku paste kutoka movie ya ki Zimbabwe "I want a child". Tena mwizi mwenyewe akawa ajisifia kwenye moja ya vipindi vya mahojiano ya TV kua wasanii wameitendea haki hadithi yake. Ukiwa mvivu wa fikra lazima utaiba ndi njia ya mkato y wezi.
Ni kweli sio ya kwanza kuna moja yake pia inaitwa Regina jamani ile kabisaaa alipaste movie ya black Americans inaitwa deliver us from Eva sio Mara ya kwanza kazoea
 
"Red Valentine" wali copy na ku paste kutoka movie ya ki Zimbabwe "I want a child". Tena mwizi mwenyewe akawa ajisifia kwenye moja ya vipindi vya mahojiano ya TV kua wasanii wameitendea haki hadithi yake. Ukiwa mvivu wa fikra lazima utaiba ndi njia ya mkato y wezi.
Yaani ni full majanga... and the way watu wanavyosema utafikiri kwamba it's just okay, tuibe tu kwani kuna nini... hatufahamu kwamba, nchi itakapoanza kuwa ni ya wafuata sheria basi watalazimika kuanza moja kv hatukujenga base yetu wenyewe!!
 
Umeongea point sana, waangilie sana pia movie za ki nigeria maana wana story nzuri ambazo ni applicable kwenye maisha yetu ya kitanzania
Yaani mpwa mumemfurukunyua tena JB ili tuendelee kumsimanga??!! I cry for Bongo Movie aisee coz' ndio sekta pekee ya burudani yenye uwezo wa kuajiri watu wengi zaidi kwa wakati mmoja!
 
Mtu akae akune kichwa kutunga story, halafu wewe cha uvivu from nowhere uje tu ku copy na ku paste, sana sana unabadili lugha... watuondokee hapa... waache uvivu.
Yaani ni full majanga... and the way watu wanavyosema utafikiri kwamba it's just okay, tuibe tu kwani kuna nini... hatufahamu kwamba, nchi itakapoanza kuwa ni ya wafuata sheria basi watalazimika kuanza moja kv hatukujenga base yetu wenyewe!!
 
"Red Valentine" wali copy na ku paste kutoka movie ya ki Zimbabwe "I want a child". Tena mwizi mwenyewe akawa ajisifia kwenye moja ya vipindi vya mahojiano ya TV kua wasanii wameitendea haki hadithi yake. Ukiwa mvivu wa fikra lazima utaiba ndi njia ya mkato y wezi.

Red Valentine's ile ya kanumba? Khaa, tatizo wanajuaga wanaoangalia bongo movie mapoyoyo kama wao
 
Back
Top Bottom