Yaani mpwa mumemfurukunyua tena JB ili tuendelee kumsimanga??!! I cry for Bongo Movie aisee coz' ndio sekta pekee ya burudani yenye uwezo wa kuajiri watu wengi zaidi kwa wakati mmoja!
Bongo muvi itafika mbali pale wenye vipaji wakipata nafasi na watunzi wazuri wakipata nafac pia
Lakini siku hizi angalau kwa mbaaaaaali wanajitahidi kuitisha stori kwa wale wenye nazo lakini kwa upande mwingine, suala la waandishi wa script vile vile bado ni tatizo! Kuna lots of aspiring screenwriters lakini kwa bahati mbaya hawana msaada coz' si tu kwamba hakuna screenwriting schools au angalau screenwriting writing classes, lakini hata zile training za hapa na pale bado ni haba na hata wanaopata nafasi ni wale tu ambao tayari wapo kwenye game! Nimeshawahi kuona scripts kadhaa lakini bado nyingi majanga hata kutoka kwa wale ambao wapo kwenye game... kupata tight script hata huko Hollywood lazima uingie mfukoni... Kibongobongo, pamoja na yote uwe tayari kulipa angalau sh.5 million lakini hakuna ambae yupo tayari kulipa hiyo pesa!!!Jb anajitahidi sana movie zake, ukiangalia huwezi kujuta kupoteza muda na pesa, sema tu ubunifu hawana kwenye movie zao, movie hazina mood na waigizaji bado wanaigiza kuanzia matendo hadi kuongea, then hawabadiliki kila siku mapenzi tu kila siku
Mfumo uliopo ni adui wa kuwezesha kufanya filamu kuwa filamu....na waliopo ndani hawaambiliki coz zile shilingi mbili za wadosi zimeshawalevya kabisa...kana kwamba wakizikosa basi wataangamia.
Sasa umpe JB script nzuri ili hali Mdosi anataka pati one na two utegemee nini kama sio aibanange tu hiyo script mpaka ipoteze maana...na hakuna njia unaweza kuandaa proper screenplay ikafaa kuwa pati one na two zetu.