JB na Skendo mpya ya kuiba mawazo ya Movie ya ''Ladies Vs Ricky Bahl"

Wanasema mtu mzima akikwambia maneno ya kijinga .nawe ukayasikiliza atakuona weye mjinga huyu script write anatuona wajinga
 
Huyu Jamaa siku aliyochukua kadi ya Ma-CCM nilijua fika kinachofuata ni Wizi..

Halafu ana ndoto za kuwa Muigizaji wa Kimataifa Daah!!!
 
Mkuu naomba nikuhakikishie kuwa aliye present ujumbe huo yaani JouneGwalu sio Dan Manege, nje ya JF wote nawafahamu, hata shughuli zao ni tofauti.

Kidogo nipo tofauti na wengi kwa sababu kwanza namuona Script writer ni mtu unayeelewa uzito wa hili suala. Naamini alinuia vema kuandaa epistle hiyo kama sehemu ya confesion ya kutumia idea ya mtu ktk kazi yake pasipo prior owners acknowledgement.

Pamoja na udhaifu huo amekiri, na ninadhani sasa huu uwe msingi wa kujenga ushirika na wasanii wa filamu Tanzania ili kuongeza ideas ambazo hazijatumika.

Kwa Pamoja tunaweza.
Kama kinachozungumzwa ni kweli basi wahusika hawakutumia idea/wazo bali wamechukua maudhui/contents na hata habari ya hapo juu, muhusika amesema wazi kwamba ametumia maudhui na sio idea... hivi ni vitu viwili tofauti! Katika filamu, hakuna ubaya wowote kutumia idea lakini maudhui, HAPANA! Na kwa issue kama hii hata suala la acknowledgement halina nguvu, which means hata kama ange-acknowledge bado kosa lipo pale pale... nimeshasema mara kadhaa tunaposema ku-acknowledge/kutoa credit maana yake ni nini hasa! Huwezi ku-acknowledge material yenye sura ya wizi bali una-acknowledge material uliyoipata kihalali... inawezekana umeinunua kwa millions of dollars lakini bado utalazimika kutoa credit!
 
Chige critics zako nazikubali sana na ninaziheshimu,
Unajenga hoja kwa misingi halisi ya kitasnia hii inakutofautisha na wapaka mipasho hapa....
Kwa mimi nilivyoelewa na ninavyoona tasnia yetu ni kukosekana kwa idara tofauti za uhariri wa kazi.
Mtu huyo huyo huyo ndio producer na huyo huyo ndio muigizaji mkuu na huyo huyo director na msimamiaji wa editing.....
Hivyo kosa likipita huku mwanzoni basi hilo kosa litaenda hadi mwisho.
 
Hivi kuna mtu huwa anatoa hela kununua sijui ndio DVD na kukaa kitako kabisa kutazama haya maigizo ya bongo movie?
 
Kuna kazi kama Chumo na Siri ya Mtungi (series), hizo kama we ni mtu wa movie basi ni utatazama tu...
Zimeandaliwa na timu ya wajuaji wa mambo haya!
Pata wasaa uzione!!
 
Chige critics zako nazikubali sana na ninaziheshimu,
Unajenga hoja kwa misingi halisi ya kitasnia hii inakutofautisha na wapaka mipasho hapa....
Kwa mimi nilivyoelewa na ninavyoona tasnia yetu ni kukosekana kwa idara tofauti za uhariri wa kazi.
Mtu huyo huyo huyo ndio producer na huyo huyo ndio muigizaji mkuu na huyo huyo director na msimamiaji wa editing.....
Hivyo kosa likipita huku mwanzoni basi hilo kosa litaenda hadi mwisho.
Ulilosema ni kweli kabisa... yaani hakuna separation of responsibilities! Kwa kweli huwa napata taabu sana mtu anapoamua kuwa director and at the same main character!

Lakini hapa labda niseme jambo moja! Hata ukiwa na kitengo cha uhariri, kama production company/producer huwezi kuzuia a stolen/plagiarism material kufika mezani kwako na hatimae kuinunua na kuitumia like a legit material! Njia pekee inayotumika na wenzetu kuji-defend na kazi ambazo zimefika kwako isivyo halali ni kuwekeana mikataba! Mkataba wa Producer/Production company utamlazimisha Script Writer a-declare kwamba submitted material ni yake na ni original material! Na ikiwa ni adapted material, for instance ame-adapt novel, basi lazima Script Writer athibitishe kwamba amepewa haki (na mmiliki wa novel) ya ku-adapt novel husika! Na ikiwa katika script, kuna scene ambayo kuna wimbo umetumika na una-exceed allowable limit to the point Producer/Production company anaona hicho kipande cha wimbo ni muhimu sana and can't be replaceable basi lazima Mwandishi athibitishe kwamba amepewa haki ya kutumia wimbo husika! Mifano ipo mingi lakini itoshe tu kusema kwamba, kila kipengele cha script lazima kiwe na defensive mechanism unless ni purely original material ambayo haihitaji rights confirmation ya third part ndipo Mwandishi atalazimika tu ku-declare kwenye mkataba kwamba material ameandika yeye bila kusahau suala la kuonesha Copy Right! Tusisahau haya yanafanyika chini ya Wanasheria (kutoka kwa mnunuzi na muuzaji) anayetambulika na kwa nchi ambazo movie industry iko advanced kama US, si kwamba Mwanasheria yeyote ana mamlaka ya kusimamia mikataba ya aina hii bali ONLY Entertainment Lawyer! Na zipo kampuni ambazo huwa zinaacha kabisa kununua material kv tu hawajajiridhisha kwamba material iliyoletwa ni mali halali ya aliyeileta! Hawa ni wale ambao wanafahamu kwamba, hata kama mwisho wa mchezo wao wataonekana hawana kosa lakini ule usumbufu tu wa kupelekwa mahakamani wengine unawafanya wawe very sensitive na materials zinazoletwa kwenye desks zao!

Sasa basi, inapotokea issue kama hiyo halafu baadae bomu linabumburuka kama ilivyotokea issue ya JB, katika mazingira kama hayo JB anakuwa free from liability(lakini baada ya usumbufu mwingi) na jumba bovu linamdondokea Mwandishi na Mwanasheria wake! Lakini kwa hivi ilivyotokea kwa JB, there's no way JB anaweza kukwepa lawama na kama ingekuwa ni suala la kufikishana kwenye vyombo vya sheria, pia hawezi kukwepa mkono wa sheria unless kama yeye ni mwandishi wa hiyo kazi waliandikiana aina ya mkataba kama niliotaja hapo juu!!!
 
Kuna kazi kama Chumo na Siri ya Mtungi (series), hizo kama we ni mtu wa movie basi ni utatazama tu...
Zimeandaliwa na timu ya wajuaji wa mambo haya!
Pata wasaa uzione!!

Mkuu nyuma ya Siri ya Mtungi kuna watu waliodhamilia kufanya sanaa ya maigizo na chimbuko lake si hawa wababaishaji wanaoigiza bongo movies...

Ndio maana unaona ina ubora na binafsi huwa siiweki kundi moja na kazi za hawa vidampa watafuta hela...
 
Teh Teh this is what we call "Ukweli mchungu"
 
Ulilosema ni kweli kabisa... yaani hakuna separation of responsibilities! Kwa kweli huwa napata taabu sana mtu anapoamua kuwa director and at the same main character!

Lakini hapa labda niseme jambo moja! Hata ukiwa na kitengo cha uhariri, kama production company/producer huwezi kuzuia a stolen/plagiarism material kufika mezani kwako na hatimae kuinunua na kuitumia like a legit material! Njia pekee inayotumika na wenzetu kuji-defend na kazi ambazo zimefika kwako isivyo halali ni kuwekeana mikataba! Mkataba wa Producer/Production company utamlazimisha Script Writer a-declare kwamba submitted material ni yake na ni original material! Na ikiwa ni adapted material, for instance ame-adapt novel, basi lazima Script Writer athibitishe kwamba amepewa haki (na mmiliki wa novel) ya ku-adapt novel husika! Na ikiwa katika script, kuna scene ambayo kuna wimbo umetumika na una-exceed allowable limit to the point Producer/Production company anaona hicho kipande cha wimbo ni muhimu sana and can't be replaceable basi lazima Mwandishi athibitishe kwamba amepewa haki ya kutumia wimbo husika! Mifano ipo mingi lakini itoshe tu kusema kwamba, kila kipengele cha script lazima kiwe na defensive mechanism unless ni purely original material ambayo haihitaji rights confirmation ya third part ndipo Mwandishi atalazimika tu ku-declare kwenye mkataba kwamba material ameandika yeye bila kusahau suala la kuonesha Copy Right! Tusisahau haya yanafanyika chini ya Wanasheria (kutoka kwa mnunuzi na muuzaji) anayetambulika na kwa nchi ambazo movie industry iko advanced kama US, si kwamba Mwanasheria yeyote ana mamlaka ya kusimamia mikataba ya aina hii bali ONLY Entertainment Lawyer! Na zipo kampuni ambazo huwa zinaacha kabisa kununua material kv tu hawajajiridhisha kwamba material iliyoletwa ni mali halali ya aliyeileta! Hawa ni wale ambao wanafahamu kwamba, hata kama mwisho wa mchezo wao wataonekana hawana kosa lakini ule usumbufu tu wa kupelekwa mahakamani wengine unawafanya wawe very sensitive na materials zinazoletwa kwenye desks zao!

Sasa basi, inapotokea issue kama hiyo halafu baadae bomu linabumburuka kama ilivyotokea issue ya JB, katika mazingira kama hayo JB anakuwa free from liability(lakini baada ya usumbufu mwingi) na jumba bovu linamdondokea Mwandishi na Mwanasheria wake! Lakini kwa hivi ilivyotokea kwa JB, there's no way JB anaweza kukwepa lawama na kama ingekuwa ni suala la kufikishana kwenye vyombo vya sheria, pia hawezi kukwepa mkono wa sheria unless kama yeye ni mwandishi wa hiyo kazi waliandikiana aina ya mkataba kama niliotaja hapo juu!!!

True defination of great thinker! safi yani umeandika hadi nakosa cha kuongeza..napenda mijadala ya hivi bila shaka Jb akisoma hapa hii misumari bila shaka yuko hoi huko alipo na kamwe hawezi kuweka miguu huku kujadili maana misumari..hii si mchezo..
 
Mnh! Ndugu mwandika "script" mbona huu utetezi wako haukubaliki? Kwanza unakiri kuwa mmenyofoa maudhui toka katika filamu nyingine, hao mliowanyofolea wanajua? Kama wanajua, je, waliridhia? Kama wengine waliiba hakukupi uhalali wa wewe pia kuiba. Heri ya siku za mwisho wa juma.

Kaka.
 
#chige na #ruttashobolwa nimewaelewa sana wakuu. Nina mapenzi makubwa sana hii tasnia.
 
Hili ndo tatizo wasanii kufanya sanaa bila kupata elimu ya fani husika. Sanaa ni taaluma kama taaluma nyingine, hivyo wangejitahidi kupata hata coz fupi pale chuocha sanaa Bagamoyo au hapo UD. Hii ingewasaidia kujua hadhira inataka nn na inavyokasirishwa na kudanganywa ktk kazi ya sanaa wangeelewa nini maana ya IP Law na kwa kiasigani anaweza chukua kazi ya mtu mwingine. Bila hv kazi zao zitaendelea kuwa za ukanjanja tuu. Nimekasirishwa na hili tukio ingawa si mpenzi wa bongo muvii.
 
Kinacho kera zaidi ni hawa waigizaji kuto kubali kukosolewa..wakati script writter ana kubali maudhui yamekwapuria sehemu..Yani mtu ana jifanya kuleta maneno ya vijiweni na kebehi wakati ukweli unaonekana.
 
Attachments

  • 1425117075865.jpg
    1425117075865.jpg
    59.9 KB · Views: 104
  • 1425117102004.jpg
    1425117102004.jpg
    50 KB · Views: 108
  • 1425117125475.jpg
    1425117125475.jpg
    39.2 KB · Views: 97
Kinacho kera zaidi ni hawa waigizaji kuto kubali kukosolewa..wakati script writter ana kubali maudhui yamekwapuria sehemu..Yani mtu ana jifanya kuleta maneno ya vijiweni na kebehi wakati ukweli unaonekana.

Huo ndo uwezo mkubwa wa akili yake. Insanity @ work.
 
Kinacho kera zaidi ni hawa waigizaji kuto kubali kukosolewa..wakati script writter ana kubali maudhui yamekwapuria sehemu..Yani mtu ana jifanya kuleta maneno ya vijiweni na kebehi wakati ukweli unaonekana.
I didn't know whether the guy is that stupid! Kwahiyo baada ya kuanikwa ndo ameamua kuleta mipasho! Wahindi wenyewe wanaowaibia wana njaa halafu analeta masihara kwenye kazi za mwenye njaa mwenzake!
 
Yani halafu ana tulazimisha tupigane na wanao iba kazi zao!
 
Hapo sasa na huyu mheshimiwa kila anavyozidi kutoa mipasho ndivyo anavyozidi kujiumbua na dhani inamsumbua sana ile kuona watu wakimtaja yeye kama ndie msanii bora kabisa halafu inakuja kujulikana kwamba kazi zinazomfanya aonekane bora ni kazi za wizi...
 
Back
Top Bottom