JB: Simfahamu Ney wa Mitego wala sisikilizagi Bongo Fleva

Ni pale ambako unakua unapanic na kufanya rough decisions.. JB hajatumia busara kabisa,kwanza yeye ni kioo cha jamii alafu bado anakua mchochezi wa mambo ya kibashite..ivi kweli kabisa anadiriki kusema hamjui nay wala hackilizi bongo movies..alafu bizeeeee eti nackiliza country music..ivi alikua anajisikia kweli anachoongea

Ndomana hawafanyi kazi zenye ubora..fitna zimezidi..wanasahau kazi zao..WANAKERA KWELI!! KUTWA KUJIFANYA AKILI NYINGI KUMBE BASHITE MWINGINE TU..(MSONYOOOO WA HARMORAPA)
 
Na sisi hatuangaliini uchafu wao tunaangalia movie za ma cowboy [emoji9] [emoji9] [emoji9] hahahaaaa bongo movie eti jini linamkimbiza MTU huku limevaa jezi ya arsenal haaaaaa ......hatupangiwi cha kuanangalia
 
JB mwili tu, akili bashite. Sasa kama yeye anasikiliza country music Mbona sio anataka tuangalie movie zao hizo zilizokosa ubunifu na mvuto????
 

Vp a meacknowledge kwa waliocheza awali?
 
Ametoa macho kama mjusi kabanwa na mlango.
Yeye anataka hizo filamu za nje zilipiwe kodi kwani yeye ni mwajiriwa wa TRA? au ana hisa tra.
Ana kipaji cha ubwege.
 
Kumbe huyu jamaaa nae ni kubwa jinga eeee hah haaaaa
Eti hamjui ney wala hasikilizi bongo fleva duuuu!!! Hapo kadhhirisha kuwa hatoi sapoti kwa vya nyumbani na sio mzalendo.... Sasa kama wao wenyewe hawapendi vinavyo fanywa na watanzania wenzao kwanini wana tulazimisha sisi kupenda vya kwao?
Hasikilizi bongo fleva kwa sababu haina ubora anao utaka si ndio!!
Sasa kwanini wana tulazimisha sisi kuangalia move zao zisizo na ubora tunao taka!!?? Au ndio karithishwa akili za ki bashite bashite
 
Huyu jamaa mbwiga tu. Yaani mimi nipoteze masaa mawili yote nimwangalie huyu na Wema Sepetu?
 
Alafu atulazimishe kuangalia bongo movie!! Waangalie wenyewe.
 
ATAKUA NI MMOJA WA MATAAHIRA ANATHIBITISHA MCHANA KWEUPE
 
Suala la kodi bongomuv waiachie taasisi husika tra,wao waendelee na kampeni zao siasa.Mifuko imekauka ndo wanaamka mama mkanye mwanao hafanyi kazi analalamika hovyo mitandaoni
 
Hawa watu ni wepesi mno kutumika na ndio maana thamani yao iko chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…