JB: Simfahamu Ney wa Mitego wala sisikilizagi Bongo Fleva

JB: Simfahamu Ney wa Mitego wala sisikilizagi Bongo Fleva

JB ni rafiki yangu kwa kukubali kazi zake, siku zote nanunua movie anayoshiriki. Hata hivyo Bongo movie wameshindwa kusoma alama za nyakati, siasa zinaharibu kazi zao. Wanajua kabisa kuwa Bashite ana mgogoro na taifa yet wanamtumia kwa wakati huu, nadiriki kusema sio wakati muafaka.
Usimsingizie bashite kwenye kuanguka Kwa bongo muvi bongomuvi ishakufa kabla bashite hajazaliwa
 
Pale unapodhani umeliteka soko halafu unashindwa kuliendesha.....bollocks
 
JB kajifungie na mkeo apate mimba...au muombe rafiki yako Bashite akuunganishe na GSM ukapandikize mbegu America kama alivyofanya Bashite
 
wivu na bongo flavour... ndio ushaanza kuwatawala wenzao wanavyopiga hela....
 
Bongo movie akili zao zinawatosha wenyewe, eti anasikiliza country music, sasa bongo movie nao wakisema music wa nje usiingie atasikiliza nini? Hajiulizi why bongo fleva hawazuii muziki wa nje zaidi wana waalika waje washirikiane na wao wanapata mualiko wa kwenda nje kufanya kazi na wanamuziki wa nje na BADO BONGO FLEVA WANAZIDI KUPATA TUZO KIMATAIFA? Hizo country music angesikilizaje kama bongo movie nao wangekataa muziki wa nje? AISEE JB angalia unapo zungumza.
Msikilize alichokisema...Kasema yeye anataka wauzaji wafate taratibu kama wao...
 
Back
Top Bottom