Usimsingizie bashite kwenye kuanguka Kwa bongo muvi bongomuvi ishakufa kabla bashite hajazaliwaJB ni rafiki yangu kwa kukubali kazi zake, siku zote nanunua movie anayoshiriki. Hata hivyo Bongo movie wameshindwa kusoma alama za nyakati, siasa zinaharibu kazi zao. Wanajua kabisa kuwa Bashite ana mgogoro na taifa yet wanamtumia kwa wakati huu, nadiriki kusema sio wakati muafaka.
mabongeeeee, hata kukimbia vizuri mtu haweza halafu eti ndio komando auu mpiga ngumi hatari kitaani
Hujaeleweka hata kidogo
"a"na ....akili,
"a"sikilizi bongo fleva?
Msikilize alichokisema...Kasema yeye anataka wauzaji wafate taratibu kama wao...Bongo movie akili zao zinawatosha wenyewe, eti anasikiliza country music, sasa bongo movie nao wakisema music wa nje usiingie atasikiliza nini? Hajiulizi why bongo fleva hawazuii muziki wa nje zaidi wana waalika waje washirikiane na wao wanapata mualiko wa kwenda nje kufanya kazi na wanamuziki wa nje na BADO BONGO FLEVA WANAZIDI KUPATA TUZO KIMATAIFA? Hizo country music angesikilizaje kama bongo movie nao wangekataa muziki wa nje? AISEE JB angalia unapo zungumza.