JBL BoomX3

JBL BoomX3

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Wakati dunia imeshikwa na sonny, LG, Samsung na Sonny kwa kipindi kirefu… huku wakitamba na vifaa vyao konki na bora duniani…. JBL pia alikuepo sokoni.

Ila hakuwa na vifaa vingi vya kushika soko, hadi hapo miaka ya karibuni baada ya kufuatua vifaa bora na vya bei ya wastani.

Ubora na uimala wake ukashika hatamu ikauza na kuuza.

Naamu na sasa nnaweza kusema ni moja ya campuni nzuri na bora sokoni ki ushindani wa biashara na ubora wa vifaa.

Hawakuishia hapo kwani September 8 2022 kwa mala ya kwanza JBL walitambulisha sokoni mnyama wa kuitwa boomx3.

Portable speaker bora yenye radha nzuri ya muziki,
Ikikupa dynamic bass na tweeter nzuri isiyochosha.

Hizi ni baadhi ya sifa zake
1. Mzigo ni 2.1 stereo with deep bass ,hivyo itakupa mziki mzito wenye mkito mzuri

2. Ina connect kwa Bluetooth

3. Inacheza kati ya frequency 40-20KHz

4. Inafanya kazi masaa24 tangu ichajiwe full

5. Plastic yake ni chapa ya IP67 hivyo ni ngumu isiyovunjwa kwa wepesi

6. Chuma ni water proof pia inazuita takayaka kuingia

7. Chuma ina 136watts jumla

8. Chuma ina kg6.70 hivyo huchoki kuibeba.

9 Ukitaka kuochaji hadi ijae vizuri basi ni 24hrs😣

Yess its is boom x3

IMG_2631.jpeg
 
Wakati dunia imeshikwa na sonny,LG, Samsung na Sonny kwa kipindi kirefu… huku wakitamba na vifaa vyao konki na bora duniani…. JBL pia alikuepo sokoni,
Ila hakuwa na vifaa vingi vya kushika soko,hadi hapo miaka ya karibuni baada ya kufuatua vifaa bora na vya bei ya wastani. Ubora na uimala wake ukashika hatamu ikauza na kuuza……. Naamu na sasa nnaweza kusema ni moja ya campuni nzuri na bora sokoni ki ushindani wa biashara na ubora wa vifaa.

Hawakuishia hapo kwani September 8 2022 kwa mala ya kwanza JBL walitambulisha sokoni mnyama wa kuitwa boomx3
Portable speaker bora yenye radha nzuri ya muziki,
Ikikupa dynamic bass na tweeter nzuri isiyochosha
Hizi ni baadhi ya sifa zake
1 mzigo ni 2.1 stereo with deep bass ,hivyo itakupa mziki mzito wenye mkito mzuri
2 ina connect kwa Bluetooth
3 inacheza kati ya frequency 40-20KHz
4 inafanya kazi masaa24 tangu ichajiwe full
5 plastic yake ni chapa ya IP67 hivyo ni ngumu isiyovunjwa kwa wepesi
6 chuma ni water proof pia inazuita takayaka kuingia
7 chuma ina 136watts jumla
8 chuma ina kg6.70 hivyo huchoki kuibeba.
9 ukitaka kuochaji hadi ijae vizuri basi ni 24hrs[emoji21]

Yess its is boom x3
Kwa 1.5m, wabongo wataishia kununua copy alafu kuja kupigia watu kelele humu
 
Back
Top Bottom