JBL BoomX3

JBL BoomX3

Kwa 1.5m, wabongo wataishia kununua copy alafu kuja kupigia watu kelele humu
Shida ni kwamba hakuna kitu kizuri cha bei ndogo lazima ugharamie. Vinginevyo uwe na subira ya mwaka au zaidi utakuta imeshuka hadi 1,100,000 au chini ya hapo. Lakini ukijitoa mhanga ukanunua, kwa huduma utakayopata utasahau hiyo hela.
 
Na kusema ukweli kinapig mzik mtamu sana
 
Boom x2 ni watt ngapi ja uliipata kwa bei gani
Yangu ina 160 Watts, bei mkuu nilinunua wakati tu imetoka, kama alivyosema mtoa mada ilikuwa hela ya kiwanja au kuweka msingi mkoani huko

Kama unataka kuchukua mkuu na bajeti inatosha chukua boombox 3 ni latest, kama haitoshi hata 2 ni noma vile vile
 
Sema bei broo
 
All about sound👊🏻
Ndio huon mimi nimeplace order ya hio anker lakin jana almanusur nimvue mtu flip 5 kisa tu kuzoea kutembea na miredio, hebu ichambue kwanza hio mashine soundcore motion boom plus unijuze unyama wake
 
Ngoja niipekue mzee

Iko na mwingiliano wa battery life na making materials ya speaker
Ila iko tofauti kabisa kwenye watts mzee
 
Back
Top Bottom