Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati dunia imeshikwa na sonny, LG, Samsung na Sonny kwa kipindi kirefu… huku wakitamba na vifaa vyao konki na bora duniani…. JBL pia alikuepo sokoni.
Ila hakuwa na vifaa vingi vya kushika soko, hadi hapo miaka ya karibuni baada ya kufuatua vifaa bora na vya bei ya wastani.
Ubora na uimala wake ukashika hatamu ikauza na kuuza.
Naamu na sasa nnaweza kusema ni moja ya campuni nzuri na bora sokoni ki ushindani wa biashara na ubora wa vifaa.
Hawakuishia hapo kwani September 8 2022 kwa mala ya kwanza JBL walitambulisha sokoni mnyama wa kuitwa boomx3.
Portable speaker bora yenye radha nzuri ya muziki,
Ikikupa dynamic bass na tweeter nzuri isiyochosha.
Hizi ni baadhi ya sifa zake
1. Mzigo ni 2.1 stereo with deep bass ,hivyo itakupa mziki mzito wenye mkito mzuri
2. Ina connect kwa Bluetooth
3. Inacheza kati ya frequency 40-20KHz
4. Inafanya kazi masaa24 tangu ichajiwe full
5. Plastic yake ni chapa ya IP67 hivyo ni ngumu isiyovunjwa kwa wepesi
6. Chuma ni water proof pia inazuita takayaka kuingia
7. Chuma ina 136watts jumla
8. Chuma ina kg6.70 hivyo huchoki kuibeba.
9 Ukitaka kuochaji hadi ijae vizuri basi ni 24hrs😣
Yess its is boom x3
Anker ni mzuri ana sound n'a balance nzuri Ila Usimfanannishe n'a JBL ni habari nyingine Labda ukelee wakina Bose ,okyo,pioneer,jvc , na Bang & olufenRadio ingine bora kwa sasa na haina mpinzani na bei ni nzur ni Anker soundcore boom Motion plus, hizi brand zote mbili nimezitumia kwa almost miaka mitano sasa ila jbl yuko more famous sana ila anker ni habari ingine.Mwenye kubisha abishe ila nimeshaplace order hapaView attachment 3188945
JBL tune kwa wapenda FM redio hii ni balaa unahis Salim kikekee Upo nayo hapoNina JBL Tune 760 NC na JBL Boombox 2, jamaa wapo vizuri sana mkuu, ngoja nifanye namna nibebe Boombox 3.