Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,117
- 1,403
Binafsi mimi ni mpenzi wa muziki mno ninataka kesho nichukue JBL au Anker. Ila nasikia wadau wa muziki wanasema Anker ni nzuri zaidi kuliko JBL. Je, kweli kwa mliowahi tumia hizi bidhaa?
Natumaini mje wazoefu wa hizi product za JBL na Anker soundlink.
Natumaini mje wazoefu wa hizi product za JBL na Anker soundlink.