Mkuu hivi naweza nunua Anker soundcore motion plus alafu nikaunganisha na TV ya hisense hizi A6 za nchi 50 na nikapata mziki descent sebuleni kwangu? na kama haiwezekani unashauri nichukue sound bar gani kwa bajeti ya laki 5 ?Hio Harman ndio JBL yenyewe hio Mzee awali separate kama sijakosea now kitu kimoja