Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Bluetooth speaker zote ni outdoor na h akuna ubishi , ukitaka kinu Cha sebleni nunua JBL radios zipo za kutosha ni suala la pesa Yako tumkuu unataka kusema Anker zote ni kwa ajili ya matumizi ya outdoor? vipi kuhusu hizi JBL kama Charge 4 nazenyewe ni Outdoor?
Hio Harman ndio JBL yenyewe hio Mzee awali separate kama sijakosea now kitu kimojaHARMAN KARDON
Aisee huo mziki unagonga balaa.... Kuanzia JBL na wadogo zake hao Kina ANKER wote wanasubiri
Hiyo soundbar mpaka unaimiliki ni 12 milionView attachment 2348397
Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app
Harman kardon hiyo mzee, ndugu yake na JBL ni familia moja ya Harman kardonView attachment 2348358Huu mzik ni kampun gan? Maana kuna jamaa anao unapiga balaa na alinambia unauzwa laki sita..ni kweli?
Hizo jbl ww hata ukae wapi utaskia mziki mzur.. chukua charger 4 au 5mkuu unataka kusema Anker zote ni kwa ajili ya matumizi ya outdoor? vipi kuhusu hizi JBL kama Charge 4 nazenyewe ni Outdoor?
Weka hiyo model ya sony,picha linaanza hyo jbl ni 9.1 CH tayar ni gapMkuu kati ya JBL sound bar ile ya 9.1 watts 800 na Sony Sound Bar ya Watts 1000 ipi ya kununua?
Kumbuka JBL ni familia ya Harman kardon,yani ndugu wa nyumba moja kabisa [emoji2]HARMAN KARDON
Aisee huo mziki unagonga balaa.... Kuanzia JBL na wadogo zake hao Kina ANKER wote wanasubiri
Hiyo soundbar mpaka unaimiliki ni 12 milionView attachment 2348397
Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app
Mkuu una maana gani kusema CH?Weka hiyo model ya sony,picha linaanza hyo jbl ni 9.1 CH tayar ni gap
Harman kardon ninaitumia Kwny Gari,it's the best.Harman kardon hiyo mzee, ndugu yake na JBL ni familia moja ya Harman kardon
Jina jipya masikioni mwangu,Anker
Mkuu chager 5 na sound bar ya hisense au sony hizi za 500k unashauri nichukue nini?Hizo jbl ww hata ukae wapi utaskia mziki mzur.. chukua charger 4 au 5
Soundbar itakua ni the best kwa sababu utakua na option nyingi,lakin vzr ukiweka model number ya hizo Soundbar ndio ujue kat ya sony au Hisence ipi itakufaaMkuu chager 5 na sound bar ya hisense au sony hizi za 500k unashauri nichukue nini?
Hizo ni channel mkuu yani speaker 9 na subwoofer 1Mkuu una maana gani kusema CH?
Hizo jbl ww hata ukae wapi utaskia mziki mzur.. chukua charger 4 au 5
Hamna anae kalili hapa,,brand inayoongelewa hapa ni class za Bose,tunaongelea JBL, Harman kardon,unafkr Bose itakosekana hapo? Ni yeye na pesa zake tuWazee acheni kukalili, tafuteni mziki wa Bose mje na mrejesho
Ukiwa nayo live ndio utaelewa charger 4 inafanya vitu gani ,hyo motion plus kama huna hela labda...ila JBL overall sound ni tamu sanaJBL Charge 4 vs Anker Soundcore Motion+ Side-by-Side Speaker Comparison
The Anker Soundcore Motion+ is a better speaker than the JBL Charge 4. The Anker has a better-balanced sound profile than the JBL, and you can customize it thanks to the graphic EQ and EQ presets available on its companion app. It can get louder than the JBL and can play stereo content without...www.rtings.com
Umemmaliza BOSE ni hatari sanaWazee acheni kukalili, tafuteni mziki wa Bose mje na mrejesho
Ukiongelea Bose,ujue utaongelea na familia yote ya Harman kardon jbl akiwepo ndani.ni ww na pesa yako tuUmemmaliza BOSE ni hatari sana