Mkuu hivi naweza nunua Anker soundcore motion plus alafu nikaunganisha na TV ya hisense hizi A6 za nchi 50 na nikapata mziki descent sebuleni kwangu? na kama haiwezekani unashauri nichukue sound bar gani kwa bajeti ya laki 5 ?Hio Harman ndio JBL yenyewe hio Mzee awali separate kama sijakosea now kitu kimoja
Laki 5 huna haja ya motion plus,tafuta Samsung T450 ,au A650 au T 550 hizi ni Budget soundbar,ukipata A650 au T550 nafkr zina 3.1 channelMkuu hivi naweza nunua Anker soundcore motion plus alafu nikaunganisha na TV ya hisense hizi A6 za nchi 50 na nikapata mziki descent sebuleni kwangu? na kama haiwezekani unashauri nichukue sound bar gani kwa bajeti ya laki 5 ?
Mkuu vipi hii soundbar ya SONY HT-S350 ukilinganisha na hizo ulizotaja?Laki 5 huna haja ya motion plus,tafuta Samsung T450 ,au A650 au T 550 hizi ni Budget soundbar,ukipata A650 au T550 nafkr zina 3.1 channel
Harman Kardon Onyx StudioView attachment 2348358Huu mzik ni kampun gan? Maana kuna jamaa anao unapiga balaa na alinambia unauzwa laki sita..ni kweli?
Pamoja vizuri vinadumu Ukiweka Kidogo ubahili pembeni unapata kitu kinasuuza roho
Flip 5Umechukua modeli ipi
Yah zinafikaView attachment 2348358Huu mzik ni kampun gan? Maana kuna jamaa anao unapiga balaa na alinambia unauzwa laki sita..ni kweli?
Harman kadon studio 5 ndo hao hao JblView attachment 2348358Huu mzik ni kampun gan? Maana kuna jamaa anao unapiga balaa na alinambia unauzwa laki sita..ni kweli?
Flip 5
Sony ziko vizuri mkuu hata ukichukua sio mbaya Sana Ila JBL au Harman kadon studio 6 or 5 NI konki mnoMkuu kati ya JBL sound bar ile ya 9.1 watts 800 na Sony Sound Bar ya Watts 1000 ipi ya kununua?
Harman kadon ni parent wa JBL ndo hao kampuni mmoja Mzee ni Sawa na GSM Na Galco Ltd Au Infinix na TecnoHARMAN KARDON
Aisee huo mziki unagonga balaa.... Kuanzia JBL na wadogo zake hao Kina ANKER wote wanasubiri
Hiyo soundbar mpaka unaimiliki ni 12 milionView attachment 2348397
Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app
Bei zimechangamka Ila ni vitu konk nilitoka flip 5 naenda Charge 5 Afu naweka part boost [emoji91][emoji91]Anker sijaitumia,
Ila naikubali Sana jbl,
Mchawi bei zake, very overrated
Sebulen na Bedroomhii unatumia sebuleni mkuu?
Currently a Samsung subsidiary company Harman anamiliki jbl na Samsung alinunua Harman kardonHarman kardon hiyo mzee, ndugu yake na JBL ni familia moja ya Harman kardon
Sebulen na Bedroom
Hii ni Bluetooth Tu Mzee kama unataka flash na aux chukua charger 5 kwenda juuMziki wake ni mzuri kwa ndani ya nyumba? hata kuunganisha na TV?
Anaposema outdoor anamaanisha nnBluetooth speaker zote ni outdoor na h akuna ubishi , ukitaka kinu Cha sebleni nunua JBL radios zipo za kutosha ni suala la pesa Yako tu
Jamaa wako juu sn inaonekana mziki wao ni hatarWazee acheni kukalili, tafuteni mziki wa Bose mje na mrejesho
Unachokitaja ndio tulikiongea na tukashaur hizo brand mbona niko na aurora 3unyama sanaJamaa wako juu sn inaonekana mziki wao ni hatar