Kalulu Metusela
Member
- Dec 10, 2011
- 78
- 21
hiyo kali jcb nae hajatoka ni underground tu hana lolote mibangi
unadhani ntaandika kitu jf bila kuwa na uhakika..? Nilikuwepo tena bak stage.,usisingizie underground wakati jcb amekuja amelewa hajielewi., alikaa soweto bar toka mida ya asubuhi anazitwanga na nimeshuhudia hiyo., na hiyo statement kaiongea hadi batoo wa m.j fm akamuombea msamaha baada ya kushuka jukwaani.., au wewe ndo ulikuwa umelewa bab..,usitetee utumbo jomba..!dah!!!mwanaaaa sithanii kamaa hiyo kauliiii unayosemaa ni yaukweliii,i was there...JCB hakutoa inyooo kaulii,ilaaa wasaniii na vijana wanao jiita maselaaa wengi ni maselaaa mavii 2,wat happen nikwambaa baazi ya under ground wa arachugaa ni wahunii tu na wavutaaa mashadaaaa hewani,pombeee now wanakulaa chalasi na teriii,wanasemaaa ni hip hop...walitaka kuaribu show kwa kuanzaa kuzinguana zinguana wenyewe kwa wenyeweeeeee
mbona amekiri kwamba ye ni underground kwenye you heard ya soudy brown amekana haikutokea
Kwel anaogopa kufunikwa coz wimbo aliopatia ni ukisikia pa! So naye ni kama underground 2
Mkuu Pukudu! nakubaliana sana na maelezo yako kuhusu JCB, Ni kweli JCB alikuwa noma!!! ila sijui kama umeshtukia siku za hivi karibuni toka apewe zile tuzo na CLOUDS FM(Kwa kujipendekeza na kuwa-diss machizi wa ukweli). Amekuwa akijitenga na harakati zozote zinazoanzishwa dhidi ya wanyonyaji wasanii...ikiwemo kuwa-diss na kuwaletea maringo machizi zake wa kitambo! akiwemo Spark Dog. Kama umesikiliza track zake za hivi karibuni kiwango chake kimeshuka sana! nadhani hili tatizo haliko kwake tu! liko kwa washkaji wengi wa bongo pindi wakipata mafanikio kidogo.Wewee humjui JCB vizuri ana nyimbo nyingi saana kaanza hip hop since 1994 na walitoa albamu moja na kundi lao la hard core, huo wimbo ukisikia paah unaousikia ni remix orijino aliuimba 2007 katika albamu ya full ile laana mixtape vol 3. JCB ni miongoni mwa wasanii walioathirika na mchezo mchafu wa media za bongo. Hebu fuatilia nyimbo zake na za watengwa utamjua vizuri
Wewee humjui JCB vizuri ana nyimbo nyingi saana kaanza hip hop since 1994 na walitoa albamu moja na kundi lao la hard core, huo wimbo ukisikia paah unaousikia ni remix orijino aliuimba 2007 katika albamu ya full ile laana mixtape vol 3. JCB ni miongoni mwa wasanii walioathirika na mchezo mchafu wa media za bongo. Hebu fuatilia nyimbo zake na za watengwa utamjua vizuri
JCB kiukweli bado underground, hivi nani kukiwa na show ya JCB peke yake ukumbini tena mkoa tofauti na Arusha anaweza kulipia kiingilio? Naweza kufanya hivyo kwa Fid Q, Prof J, Roma n.k lakini kwa JCB NO' labda awe msindikizaji show ya msanii mwingine.