Kalulu Metusela
Member
- Dec 10, 2011
- 78
- 21
Jcb leo azingua stagini baada ya kupanda jukwaani soweto na kusema hataki ma underground kupanda jukwaani wala kumpa hi., hali hiyo imeleta purukushani kubwa hadi watu kutupa mawe jukwaaani., nimepata xhance ya kuongea na underground mmojaa ambaye alijiandikisha lakini hakuitwa jukwaani akasema kwamba "jamaa anaogopa kufunukwa na maunderground"...!