Hii JANJA JANJA Huwa mnaipigaga kwenye mshono haaahaa 😊Huyo rafiki yako ndio wewe
Ushauri; piga kazi ushaji-limit Tayari unafamilia mke na kids
HahahaHii JANJA JANJA Huwa mnaipigaga kwenye mshono haaahaa 😊
Kwani ukisema ni wewe kuna kosa Gani?Asante kwa ushauri, kuhusu hilo ni rafiki yangu si mimi..
Sio kua ni uoga wa maisha Huwa nawaza niache kii KAZI nayo ifanya nijikite kwenye kampuni yangu from scratch from the beginning.Apige kazi.... hakuna kazi ngumu kama kupata kazi....
Watu wengi humu wakiombaga ushaur imekua desturi ya kufanya kama ulivyo Fanya weweKivipi hapo mwana?
Hebu tusaidie hapo tuna shauri vipi? Nimeiweka hapa ili vipanga msaidie kuichakataSio kua ni uoga wa maisha Huwa nawaza niache kii KAZI nayo ifanya nijikite kwenye kampuni yangu from scratch from the beginning.
Huwa nikitaka ku made decision nabakia kukosa majibu
Inahitaji maamuzi magumu sana mkuuSio kua ni uoga wa maisha Huwa nawaza niache kii KAZI nayo ifanya nijikite kwenye kampuni yangu from scratch from the beginning.
Huwa nikitaka ku made decision nabakia kukosa majibu