Je, Abdul ndio anataka kuinunua Mount Meru Hoteli baada ya Impala Hotel?

Je, Abdul ndio anataka kuinunua Mount Meru Hoteli baada ya Impala Hotel?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Kuna fununu sana Arusha kwamba mtoto pendwa ndio anaichukua Hoteli ya Mount Meru, na ikumbukwe pia kuna fununu za kuinunua Impala Hoteli iliyokuwa inamilikiwa na Bilionare Mrema. Sasa ni Mount Meru Hoteli tena.

Kijana ana ukwasi wa kutisha sana ndani ya miaka mitatu tu hii.


1717843598055.png
 
Ni muda wake kula mema ya nchi. Japo mengine tunaweza kuwa tunamsagia kunguni tu huyu Abdul.

Hii inanikumbuka enzi zile, Ridhiwani mwana wa Kikwete alihusishwa na kila kitu, kuanzia malori yote, mghorofa mapya yote, hoteli zote na vituo vya mafuta vyote hapa nchini.
 
Hahahahaha anajikosha tuu,
Bora akanunue nje ya nchi maana mali zote hizo zitakuja kutaifishwa.
Na nani? CCM wana mfumo wa kulindana, la sivyo Jiwe angetaifisha mali nyingi sana, kumbuka wakina Makapa walijiuzia hadi Mgodi, kama Jiwe hakutaifisha mali hata moja ya Kiongozi wa CCM basi hakuna mwingine atakaye weza fanya.
 
Kuna watu mmekalia umbea umbea tu muda wote.uzushi huu unawasaidia nini? Mnamtumikia nani na huu uzushi wenu? Mmeanza ujinga ule ule ambao kila jumba kubwa na ghorofa kubwa lililokuwa likijengwa hapa Nchini lilikuwa linasemwa ni la Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete. Ipo siku utashindwa kutoa mahitaji ya nyumbani pako hapo halafu utasema umekwenda sokoni kukopa umenyimwa kwa kuwa abdul amenunua kila kitu
 
Kuna watu mmekalia umbea umbea tu muda wote.uzushi huu unawasaidia nini? Mnamtumikia nani na huu uzushi wenu? Mmeanza ujinga ule ule ambao kila jumba kubwa na ghorofa kubwa lililokuwa lilijengwa hapa Nchini lilikuwa linasema ni la Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete. Ipo siku utashindwa kutoa mahitaji ya nyumbani pako hapo halafu utasema umekwenda sokoni kukopa umenyimwa kwa kuwa abdul amenunua kila kitu
Hii ndio habari inayozunguka hapa mjini.
 
Ukweli ni kwamba kioindi cha magufuri familia yake haikuwa inaiba Mali za umma lakini wakati WA mama Samia familia yake inajihusisha na kuiba Mali za umma.WAO WAMEJIUZIA KISIWA CHA MAFIA AMBACHO DR SILAA KARIPORT KUWA KIMEUZWA KWA MWEKEZAJI
 
Ukweli ni kwamba kioindi cha magufuri familia yake haikuwa inaiba Mali za umma lakini wakati WA mama Samia familia yake inajihusisha na kuiba Mali za umma.WAO WAMEJIUZIA KISIWA CHA MAFIA AMBACHO DR SILAA KARIPORT KUWA KIMEUZWA KWA MWEKEZAJI
Acheni kuropoka na kuzua mambo yasiyo na ukweli wala ushahidi. Mtu umekurupuka zako huko unakuja kutunga uongo wako hapa
 
Back
Top Bottom