Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rahisiUtapambanaje na wezi ambao sheria zote zinawalinda huwezi kuwagusa
Mawazo yako haya ya kishetani ni ngumu sana kuwa na akili yenye uwezo wa kupambanua mambo kwa weledi zaidi ya porojonchi ishapigwa mnada bado kuolewa na waarabu,wazungu,wakorea na wachina
CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.ninyi wenye chuki binafsi mtaishia kufa kwa msongo wa mawazo .maana mioyo yenu imejaa wivu na chuki binafsi tu.CCM wanaimaliza nchi, na bado kuna wapuuzi wanaendelea kuwapa kura
Vipi ulithibitisha kuwa havikuwa vyake. Ogopa utakatishaji wa fedha.Ni muda wake kula mema ya nchi. Japo mengine tunaweza kuwa tunamsagia kunguni tu huyu Abdul.
Hii inanikumbuka enzi zile, Ridhiwani mwana wa Kikwete alihusishwa na kila kitu, kuanzia malori yote, mghorofa mapya yote, hoteli zote na vituo vya mafuta vyote hapa nchini.
Hahahahaha anajikosha tuu,
Bora akanunue nje ya nchi maana mali zote hizo zitakuja kutaifishwa.
Hivi ni kwanini kwenye hizi nchi yetu tunayoita ya kizalendo kila kiongozi fulani akiwa madarakani basi ndugu zake au watoto wake ambao kabla hawakuna wanajulikana na hawana cha maana ila ghafla wanaibuka na kushindana na matajiri kwa ukwasi na miradi kemkem.Kuna fununu sana Arusha kwamba mtoto pendwa ndio anaichukua Hoteli ya Mount Meru, na ikumbukwe pia kuna fununu za kuinunua Impala Hoteli iliyokuwa inamilikiwa na Bilionare Mrema. Sasa ni Mount Meru Hoteli tena.
Kijana ana ukwasi wa kutisha sana ndani ya miaka mitatu tu hii.
View attachment 3011840
Ameshainunua, ni ule mnada wa kibabe sana, ukaleta mgogoro wa kifamilia kwa marehemu Mrema, na Makonda ni kazi maalum kusimamia "kuongeza vyumba" kama anavyojitapa kila mahali, bado na hotel yetu mpya kule Karatu.Kuna fununu sana Arusha kwamba mtoto pendwa ndio anaichukua Hoteli ya Mount Meru, na ikumbukwe pia kuna fununu za kuinunua Impala Hoteli iliyokuwa inamilikiwa na Bilionare Mrema. Sasa ni Mount Meru Hoteli tena.
Kijana ana ukwasi wa kutisha sana ndani ya miaka mitatu tu hii.
View attachment 3011840
Jiwe alikataa kabisa kufukua makaburi!Na nani? CCM wana mfumo wa kulindana, la sivyo Jiwe angetaifisha mali nyingi sana, kumbuka wakina Makapa walijiuzia hadi Mgodi, kama Jiwe hakutaifisha mali hata moja ya Kiongozi wa CCM basi hakuna mwingine atakaye weza fanya.
weledi kama unakaribisha huyu bungeniMawazo yako haya ya kishetani ni ngumu sana kuwa na akili yenye uwezo wa kupambanua mambo kwa weledi zaidi ya porojo
CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.ninyi wenye chuki binafsi mtaishia kufa kwa msongo wa mawazo .maana mioyo yenu imejaa wivu na chuki binafsi tu.
Naweza pata wapi hizi taarifa za kisiwa kuuzwa au kukodishwa Kwa mwekezaji , za Dr Silaa au za SirikaliUkweli ni kwamba kioindi cha magufuri familia yake haikuwa inaiba Mali za umma lakini wakati WA mama Samia familia yake inajihusisha na kuiba Mali za umma.WAO WAMEJIUZIA KISIWA CHA MAFIA AMBACHO DR SILAA KARIPORT KUWA KIMEUZWA KWA MWEKEZAJI
Mkuu shida ni sisi raia hatuchukui maamuzi magumu sanaHivi ni kwanini kwenye hizi nchi yetu tunayoita ya kizalendo kila kiongozi fulani akiwa madarakani basi ndugu zake au watoto wake ambao kabla hawakuna wanajulikana na hawana cha maana ila ghafla wanaibuka na kushindana na matajiri kwa ukwasi na miradi kemkem.
hii inakuwaje kwenye nchi yenye vyombo vyote vya usalama na inteligensia hivi inamaana usalama hawashughuliki na hawa ndugu wa wakubwa.
Tuliliona hili kipindi cha magu kwa binamu yake furaha sijui ghafla tu eti anakubalika kawee zima mara ana media kubwaa kwa kikwete hivyohivyo ridhi1 kwa mkapa mkewe alibamba sana.
mbona kama hizi nchi zetu ni changa la macho sana..!
Aiseee hii hatari sana,Ameshainunua, ni ule mnada wa kibabe sana, ukaleta mgogoro wa kifamilia kwa marehemu Mrema, na Makonda ni kazi maalum kusimamia "kuongeza vyumba" kama anavyojitapa kila mahali, bado na hotel yetu mpya kule Karatu.
Ngurdoto nayo bado hiviiii tu.
Ndio maana nilisema wana Arusha wawe na uvumilivu, jamaa atakuwepo kusimamia miradi.
Kuna mtu alimuelewa January aliposema AICC wamefuta mradi wa kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano Arusha, ahahaaa, utagongana na uwekezaji wa wanene
😄Huyo dogo kapataje Hela hizo ndani ya miaka mitatu tu? Hyatt regency,Serena.seaclif,Impala ngurudoto na hiyo sjui Nini zote kazinunua ndani ya miaka mitatu tu?Abdul ameula