BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Na nani? CCM wana mfumo wa kulindana, la sivyo Jiwe angetaifisha mali nyingi sana, kumbuka wakina Makapa walijiuzia hadi Mgodi, kama Jiwe hakutaifisha mali hata moja ya Kiongozi wa CCM basi hakuna mwingine atakaye weza fanya.Hahahahaha anajikosha tuu,
Bora akanunue nje ya nchi maana mali zote hizo zitakuja kutaifishwa.
Mkuu hizi ni Dua za kuku, tunapaswa kudili na wezi wa mali za umma now na sio kuwaombea duaWanapambana tu na wakati hao, yeye na mama yake wote watarudi mavumbini huku aibu ya kuiuza Tanganyika ikiwafata hadi kaburini
Utapambanaje na wezi ambao sheria zote zinawalinda huwezi kuwagusaMkuu hizi ni Dua za kuku, tunapaswa kudili na wezi wa mali za umma now na sio kuwaombea dua
Hii ndio habari inayozunguka hapa mjini.Kuna watu mmekalia umbea umbea tu muda wote.uzushi huu unawasaidia nini? Mnamtumikia nani na huu uzushi wenu? Mmeanza ujinga ule ule ambao kila jumba kubwa na ghorofa kubwa lililokuwa lilijengwa hapa Nchini lilikuwa linasema ni la Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete. Ipo siku utashindwa kutoa mahitaji ya nyumbani pako hapo halafu utasema umekwenda sokoni kukopa umenyimwa kwa kuwa abdul amenunua kila kitu
Acheni uzushi .mtaishia kuwa wazushi na wambeya wa mjini tuHii ndio habari inayozunguka hapa mjini.
Acheni kuropoka na kuzua mambo yasiyo na ukweli wala ushahidi. Mtu umekurupuka zako huko unakuja kutunga uongo wako hapaUkweli ni kwamba kioindi cha magufuri familia yake haikuwa inaiba Mali za umma lakini wakati WA mama Samia familia yake inajihusisha na kuiba Mali za umma.WAO WAMEJIUZIA KISIWA CHA MAFIA AMBACHO DR SILAA KARIPORT KUWA KIMEUZWA KWA MWEKEZAJI
Huo ndio ukweli wenyewe.Acheni uzushi .mtaishia kuwa wazushi na wambeya wa mjini tu
Na wewe kauze .maana watanzania ni watu mnapenda kuwa na wivu na chuki za kijinga jinga sana.Kumbe biashara yake ya kuuza matairi pale Kariakoo inalipaš¤
Ukweli gani usio na ushahidi? Huo siyo ukweli bali ni uzushi na umbea kama ulivyo umbea mwingine tu.Huo ndio ukweli wenyewe.